Kiwanja cha Jay Dee kupigwa mnada baada ya kushindwa kulipa deni la mkopo

Kiwanja cha Jay Dee kupigwa mnada baada ya kushindwa kulipa deni la mkopo

dah!kumbe saa 4 ndio mnada nimechelewa kidogo tu

Shughuli itakuwa imekwisha. Nimesikitika kwa hili, wasanii wamekosa umoja wangemsaidia mwenzao bila kujali kuwa alijipambanua kuwa ni team fulani.
 
Habari wanajamvi,

Baada ya Judith Wambura Habash kushindwa kulipa mkopo aliokopa,nyumba yake iliyopo Mivumoni,Kinondoni imewekwa sokoni kwa ajili ya kupigwa mnada.

Mtakumbuka kuwa sasa hata Bar yake ya M.O.G imefungwa muda sasa.

Tumuombee Anaconda maana anapita kwenye wakati mgumu sana sasa hivi.

View attachment 265566

vipi Ruge hajahusika this time???!!
 
Japo Dawa ya deni ni kulipa lakini kiburi ndio kimechangia zaidi huyu dada kufikishwa hapa!

Mtu mwenye utimamu anafungaje biashara ambayo ndio sababu ya yeye kuchukua mkopo? Kwenye hili sakata tutajua mengi lazima jide afunguke soon!

Jide sio mjinga kiasi hicho, hakuona sababu ya kumnufaisha mtu na mwisho wa siku utakuja kugundua kuwa ye ndo amenunua hilo eneo, hii ni jinsi ya kumtoa kwenye mirathi G
 
Shughuli itakuwa imekwisha. Nimesikitika kwa hili, wasanii wamekosa umoja wangemsaidia mwenzao bila kujali kuwa alijipambanua kuwa ni team fulani.

Hivi kwa kiburi alicho nacho Jide unafikiri ange hitaji msaada wa mtu! Kuna wanawake wana viburi lakini huyu dada ni kiboko!
 
Sio nyumba wadau ni kiwanja uko kinondoni.

Musician Lady Jaydee aka Komando Jide, her plot in Kinondoni is up for auction by EFC Tanzania Limited. Darcity center tried to find Lady Jaydee's Manager to confirm if it was true regarding the rumuours.
 
Sio nyumba wadau ni kiwanja uko kinondoni.
Musician Lady Jaydee aka Komando
Jide, her plot in Kinondoni is up for
auction by EFC Tanzania Limited. Darcity
center tried to find Lady Jaydee's
Manager to confirm if it was true
regarding the rumuours

hata Tangazo linaonesha ni plot....lakini ana po elekea na nyumba itauzwa maana sijajua deni ni Tsh ngapi...
 
Kuna kapoint fulani hapa........

Kimtindo gadner ataambiwa imeuzwa na benki....

Hela alishazila jide kitaaambooooo

Hiki ni kiwanja lakini bado kuna nyumba na vitu vingine ikiwemo blog.....!
 
Anaconda tena??! Mzimu wa Ghadina utamtesa sana, ndoa ni kuvumiliana yeye kadhani ni kuharibiana, si akauze ka Evogue kake / au Alikopa akanunua Range Evogue huku anapumlia mashine kibiashara.
 
Ingekua vyote ameviweka kama collateral vingetangazwa....

Halafu blog anybue nani? Labda Babu maana anahaha kusaka followers

Aombe pesa ya deni ipatikane lasivyo na Nyumba itabidi iingie kwenye mnada!

Au itabidi apige show 10 za fiesta ili kulipa deni....! Blog babu yako atainunua...
 
Huyu dada sim feel kabsa from day one....i sense an arrogant and proud woman a mile away anajitahidi sanaa kuificha. That really turns me OFF in a woman.

Pole Yake though.
 
jaman mjini akili ulilemaa wenzako wanasogea!jide sio mzito kiasi hicho mchezo huo wajanja wachache wanajua.hiyo michezoinachezwa sana hapa mjini hasa na couple zilizovunjika.jiulize mara mbili jide ni wakukosa hiyo hela.ahaaa wakuja ndo watahadaika ila michezo kama hiyo tushaiona mara kibao.
 
ukigombana na Ruge basi jipange kwa punch za maana.Only Sugu ndio ana muweza Ruge!
 
jaman mjini akili ulilemaa wenzako wanasogea!jide sio mzito kiasi hicho mchezo huo wajanja wachache wanajua.hiyo michezoinachezwa sana hapa mjini hasa na couple zilizovunjika.jiulize mara mbili jide ni wakukosa hiyo hela.ahaaa wakuja ndo watahadaika ila michezo kama hiyo tushaiona mara kibao.

Teh teh teh waache waendelee kupiga kelele hapa hakuna wanachokielewa mkuu.. Hawajui hapa aliyekomeshwa ni yule Mario
 
Back
Top Bottom