Sio nyumba wadau ni kiwanja uko kinondoni.
Musician Lady Jaydee aka Komando Jide, her plot in Kinondoni is up for auction by EFC Tanzania Limited. Darcity center tried to find Lady Jaydee's Manager to confirm if it was true regarding the rumuours.
Teh teh teh waache waendelee kupiga kelele hapa hakuna wanachokielewa mkuu.. Hawajui hapa aliyekomeshwa ni yule Mario
Kwani hiyo ndio mali pekee walio chuma?
Dah kazi ipo pole yao
vipi Ruge hajahusika this time???!!
Pwa! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
Komandoooooo
Pwa! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:
Wale wapenzi wake wako wapi waje waokoe jahaza?
Pwa! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
Team Anakonda:biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin:.
Teh Teh
Warumi kakimbizwa india kwa matibabu ya pressure
Pwa! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
Komandoooooo
Pwa! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:
Wale wapenzi wake wako wapi waje waokoe jahaza?
Pwa! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
Team Anakonda:biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin:.
Jana kwenye instagram yake aliandika maneno ya uchungu sana, akaweka angalizo kabisa kuwa hayo aloyaandika leo sio fix za instagram bali ni reality. Am sure jide anapitia magumu sana.
Mbona kama umefurahia hiyo habariii
Haaaaaa kama namuona atakavyokuja binamu
Ilikua kuhusu nini???
Maana alishaniblokua komando
Mbona kama umefurahia hiyo habariii
Ingekua vyote ameviweka kama collateral vingetangazwa....
Halafu blog anybue nani? Labda Babu maana anahaha kusaka followers
Nyumba hii itanunuliwa na Clouds media ili kumuokoa Jide au atalipiwa deni!
sh ngapi?jaman mjini akili ulilemaa wenzako wanasogea!jide sio mzito kiasi hicho mchezo huo wajanja wachache wanajua.hiyo michezoinachezwa sana hapa mjini hasa na couple zilizovunjika.jiulize mara mbili jide ni wakukosa hiyo hela.ahaaa wakuja ndo watahadaika ila michezo kama hiyo tushaiona mara kibao.