Kiwanja cha Jay Dee kupigwa mnada baada ya kushindwa kulipa deni la mkopo

Wabongo bwana eti Jide wa kukosa hiyo pesa dada yupo choka mbaya zaidi wameuza kiwanja chao cha tegeta na sasa watauza nyumba yao ya kimara zote mbili zilitumika kama collateral kwa ajili ya biashara ya nyumbani lounge
kuna tetesi gadna yuko nyuma ya mchezo mzima iki kumkomesha,anawastua wote wanaomdai walianzishe mpaka JD ashindwe ku concentrate na muziki,hata hivyo jide hana mtoto,anamuandalia urithi nani?
 
na bado nyumbani lounge wanamdai kimya kimya,wakichoka wanalilipua gazetini,anaweza kutembea kwa mguu mwaka huu
 
Anajiandaa na maisha yake ya uzee

Asije kunyanyaswa kisa hajazaa....kama anavyonyooshewa vidole sasa


kuna tetesi gadna yuko nyuma ya mchezo mzima iki kumkomesha,anawastua wote wanaomdai walianzishe mpaka JD ashindwe ku concentrate na muziki,hata hivyo jide hana mtoto,anamuandalia urithi nani?
 
Nahisi kuna kukomoana na ex wake.....

Inawezekana hizo ni moja ya mali walizochuma pamoja...

Hivyo anaziacha ziende in style

halafu nasikia kwenye mnada watu walio kwenda hakukuwa na na mnunuzi wala muendesha mnada...nahisi hii issue ina mambo mengi kama ni kukomoana basi ni wazi hata Nyumba itauzwa na Jide ndivyo anavyo taka na amesha hamua hivyo!Na
Mpango wake kila kitu kiuzwe walicho chuma na G..na alicha kusudi kutorejesha mkopo na akafunga biashara ili wafike hapa
Hila huyu dada ana roho ya paka kabisa duu
 
Inashangaza sana aiseeee..!!

Vidume vizima na vindevu vyao vinafurahia kushuka kwa Lafy Jd.! Huu kama si upunguani ni nini? Mliomba penzi akawadiss? Au mmechangia nini kwa mafanikio yake? Kwanini mfurahie kushuka kwa mtu? Kushuka kwenyewe ni kuuzwa kwa kiwanja ndiko kunawakenusha meno hapa? Kuna Mijitu humu ndani ni mijuha sana..!! Hivi mtu akifirisika wewe unapata nini? Maana kama akipata mafanikio waweza kuomba msaada, sasa akifirisika wewe unashangilia, faida gani unayoipata.....!! Mwacheni Komando na maisha yake jamani, inawahusu nini nyie vidume na midushee inayosimama? Au imelala..!!

Jiwe Kizani ukisikaa mayooo..Limekupata!

BACK TANGANYIKA
 

mizee mingine hamnazo kabisa kichwani, hata iishi pepon,
what z ur p with dis lady?
 
Eti kisa alimuacha gadna!
teh! teh! Marioo wote na wapigwe tu!!!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…