Kiwanja cha Jay Dee kupigwa mnada baada ya kushindwa kulipa deni la mkopo

fine Mr boxman, relax!!
bt ur insinuation & act on this depict you and ur husbands are loosers to Jide.

Hey, sounds like your hubby didn't smash you last night.

Too bad I don't do bootys.
 

Do you make sense??
 
Kama mikopo wanapewaga maskini, mimi warumi ningekuwa millionare, na kama unadhani kukopa ni kazi rahisi na kila mtu anakopeshwa, basi nenda kajaribu na wewe kukopa kama utapewa. Sijawahi kuona maskini anakopeshwa, watu wote wanaokopeshwa wana assets na mali za kueleweka, yani wana vitega uchumi vya maana, maisha yao yanaeleweka

Nimezidi kumuona lady jaydee Commando baada ya kujua kumbe huwa anafight kila kitu mwenyewe na hategemei pesa za kuhongwa kama baadhi ya mastaa wafanyavyo, kwangu mimi namuona ni mwanamke shujaa anayejiamini anaweza kufanya maendeleo bila kumtegemea mwanaume.

Kama unamcheka lady jaydee aliyeamua kukopa na kufanya maendeleo badala ya kuamua kujiuza kama baadhi ya mastaa na pesa kwenda kuzigawa kwenye kumbi za starehe, basi akili zako hazitakuwa sahihi, lady jaydee ni mwanamke wa kuigwa na ni mpambanaji, kwanza amezidi kuwaonyeshea watu kuwa huwa hategemei pesa za kuhongwa kama baadhi ya mastaa
 

Attachments

  • 1436191761754.jpg
    74.2 KB · Views: 1,117
Huu ubuyu ulioshaje maana under the carpet wanadai haukufanyika......

Ila huu ubuyu wa jide warumi ujue hauna dili

Uliona ubuyu kwa mange???? Kuhusiana na mama machache na mgombea uraisi??????? ( alishaudelete lakini)
 
Mwanamke kufanya ukike haishangazi ila mwanaume kufanya ukike inashangaza. .labda kama fikra zangu zilinidanganya kudhani wewe ni he kumbe she

Wewe endelea tu kuniwaza ndani ya bichwa lako maana ushathibitisha kuwa ninaishi rent free.
 
Mr Boxwoman again?!?!!??
Relax; though ur kuntus is irritating, am not a member, i cant do it,
Excuse me!!, dont follow me again!!

Thank you for being a good, card carrying member of my fan club.

Keep up the good work.
 
Huu ubuyu ulioshaje maana under the carpet wanadai haukufanyika......

Ila huu ubuyu wa jide warumi ujue hauna dili

Uliona ubuyu kwa mange???? Kuhusiana na mama machache na mgombea uraisi??????? ( alishaudelete lakini)

SIku hiz nimepata kazi yani umbea mwingi unanipita, ebu nipe binamu, siku ile ukanikimbia uliniboa
 
Binamu huwezi kukopeshwa kama hukidhi vigezo huyu dada ni mpambanaji sana kuanguka kupo istoshe ukiwa unadaiwa akili huwa inaruka......sikia kwa jirani ila yasikukute jana mimi nimeenda angalia nyumba inauzwa mwenyewe anadaiwa utamwonea huruma......alikua m2 mwenye uwezo biashara zikamuendea kombo.
Apambane akomboe nyumba yke 2 mjini hakuna baba mwenye gari kuna baba mwenye nyumba
 
Huu ubuyu ulioshaje maana under the carpet wanadai haukufanyika......

Ila huu ubuyu wa jide warumi ujue hauna dili

Uliona ubuyu kwa mange???? Kuhusiana na mama machache na mgombea uraisi??????? ( alishaudelete lakini)

Ka huo ubuyu ulikua unahusu nini mweeh nimepitwaje sasa siku hizi naskia uvivu kuingia kwa mange.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…