Plot4Sale Kiwanja cha makazi kinauzwa maeneo ya Chanika Mwisho - Dar es Salaam

Plot4Sale Kiwanja cha makazi kinauzwa maeneo ya Chanika Mwisho - Dar es Salaam

Kama ni miongoni mwa watu waliochoshwa na masimango ya mwenye nyumba eti kisa kufunga mlango kwa kubamiza, hii Ina kuhusu chukua kiwanja weka nyumba na wewe uwe mwenye nyumba
 
Haya mlioweka malengo ya kumiliki kiwanja kabla ya huu mwaka kuisha changamkieni fursa hii upate kiwanja kwa bei nafuu kabisa
 
Kiwanja sas kipo kwenye bei ya ofa ya Tsh. 950,000/= tu karibuni sana
 
Haya haya wikiendi ndo hyo kesho jumapili , ukifika chanika mwisho utapelekwa kukiona kiwanja bure kabisa, changamka upate kiwanja kwa bei ya jioni
 
Haya haya wikiendi ndo hyo kesho jumapili , ukifika chanika mwisho utapelekwa kukiona kiwanja bure kabisa, changamka upate kiwanja kwa bei ya jioni
Kama hujauza mkuu ntakisubiri mvua zikianza nijiridhishe vizuri
 
Kiwanja sas kipo kwenye bei ya ofa ya Tsh. 950,000/= tu karibuni sana
Chukua mzigo fasta kwa 5000 per square metre. Maana nikiiangalia kwa ramani ni mpakani kabisa na Pwani halafu mwendo mrefu. Huko kiwanja hakizidi hiyo bei. Ukiwa tayari ni PM
 
Back
Top Bottom