Plot4Sale Kiwanja cha makazi kinauzwa maeneo ya Chanika Mwisho - Dar Es Salaam

Plot4Sale Kiwanja cha makazi kinauzwa maeneo ya Chanika Mwisho - Dar Es Salaam

Gerco

Senior Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
154
Reaction score
62
Eneo: Chanika mwisho mtaa wa zogoali kwa wambili.
Bei: Tsh. 950,000/=

Umeme Upo na maji visima vipo karibu
Ukubwa : mita 13/13 au miguu 18 kwa 18

Hakuna Dalalii
Piga namba 0627864823
Huduma za kijamii kama shule na zahanati zipo karibu.
DEAL DONE!
IMG_20200622_120205_58614.jpg
IMG_20200705_084225.jpg
IMG_20200705_105419.jpg
IMG_20200705_110622.jpg
IMG_20200705_110756.jpg
IMG_20200705_110805.jpg
IMG_20200705_110959.jpg
IMG_20200705_111000.jpg
 
Haya haya wikiendi ndo hii, kama ukifika chanika mwisho Leo jumapili utapelekwa kwenda kukiona kiwanja bureeeee kabisa
 
Pata kiwanja kwa bei ya jioni ya 950,000/= chanika kumenogaaa
 
13x13 labda banda la kuku ndio utajenga ,ukiwa na angalau 20x 20 nistue
 
Wikiendi ndo hii ukifika chanika leo unaopelekwa kukiona kiwanja bure kabisa
 
Jipatie kiwanja kwa bei nafuu kabisaaa. Ukifika chanika mwisho kwenda kukiona kiwanja ni bure kabisa.
 
Yaani nitoke bunju hadi chanika kuja kununua kiwanja cha kujenga choo mita 13/13?.
Halafu nyumba nitajenga wwpi?
 
Yaani nitoke bunju hadi chanika kuja kununua kiwanja cha kujenga choo mita 13/13?.
Halafu nyumba nitajenga wwpi?
Swali zuri sana mkuu, sema nakushauri maswali mengine kama haya uwe una jaribu kuiuliza Google, kuwa nautamaduni huo Google haishindwi kirahisi
 
Haya haya timiza ndoto ya kuitwa mama au baba mwenye kiwanja, kanyaga twendeee
 
13/13 chanika mwisho kwa hiyo bei, ni nzuri,unaweza toa servant cotter na frem kadhaa hapo,wengi hamjamiliki viwanja,viwanja vingi vya mjini ni 15/15,unayoona maghorofa yameota
 
13/13 chanika mwisho kwa hiyo bei, ni nzuri,unaweza toa servant cotter na frem kadhaa hapo,wengi hamjamiliki viwanja,viwanja vingi vya mjini ni 15/15,unayoona maghorofa yameota
Dah mtetezi wangu yu hai 😀 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom