Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Naumia sana na hii nchi yangu japo na mimi nipo hapa nikisubiri mabadiliko.ila najiuliza kwa nini kile kiwanja cha chato ambacho kinaweza kutua ndege za kila aina kikatelekezwa tu.
Kwa nini serikali isitafute wabia toka nje kuja kukifanya kiwe shule ya urubani ili kuendeleza uchumi.mbona mnaweza kutafuta mikopo.
geografia ya chato ni nzuri kwa pale na ndio itakuwa kitovu kwa afrika mashariki kama chuo kikiwekwa pale kuliko kung'angania uwanja wa JK kufundishia.