Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
NIT HAWANA KIWANJA NI BORA KUPELEKA HUKO HIYO KOZIHata wakiweka kambi ya Jeshi la Anga napo itakuwa vizuri tu,ila chuo cha urubani ni wazo zuri sana,au kwa kuwa NIT wanatoa kozi ya urubani,sasa huko Chato waweke Campus ya kozi ya urubani
Strategically ili ile miradi ya chato iwe na faida waunde mkoa mpya.Tatizo uwanja huo ukiendelezwa na mafanikio yakapatikana, Joni atasifiwa, na itaonekana alikuwa na njozi bora ya maendeleo.
Mamluki wa Kuala Lumpa hawataki kabisa kusikia hizo habari.
Halafu hicho kiwanja huwa hakiwekwi pichaniNaumia sana na hii nchi yangu japo na mimi nipo hapa nikisubiri mabadiliko.ila najiuliza kwa nini kile kiwanja cha chato ambacho kinaweza kutua ndege za kila aina kikatelekezwa tu.
Kwa nini serikali isitafute wabia toka nje kuja kukifanya kiwe shule ya urubani ili kuendeleza uchumi.mbona mnaweza kutafuta mikopo.
geografia ya chato ni nzuri kwa pale na ndio itakuwa kitovu kwa afrika mashariki kama chuo kikiwekwa pale kuliko kung'angania uwanja wa JK kufundishia.