Kiwanja cha ndege Chato

Kiwanja cha ndege Chato

Poleni kwa majukumu wakuu.

Kiroho safi naomba niende kwenye kichwa cha habari ambapo ningependa kuuliza kwa ambaye ana takwimu sahihi kuhusu kiasi cha ndege zinazotua uwanja wa Chato iwe per day au per week nk.

Nauliza kwa nia njema kabisa kwavile ningependa kujiwekeza huko katika sekta ya Utalii.

Karibuni wakuu
pale ni kiwanja cha wanajeshi wetu kutua endapo tutaingia vitani na vinchi vya kijingakijinga vya pande ile. kwahiyo hela haijamwagwa, kitatumika tu strategically.
 
Back
Top Bottom