Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pale ni kiwanja cha wanajeshi wetu kutua endapo tutaingia vitani na vinchi vya kijingakijinga vya pande ile. kwahiyo hela haijamwagwa, kitatumika tu strategically.Poleni kwa majukumu wakuu.
Kiroho safi naomba niende kwenye kichwa cha habari ambapo ningependa kuuliza kwa ambaye ana takwimu sahihi kuhusu kiasi cha ndege zinazotua uwanja wa Chato iwe per day au per week nk.
Nauliza kwa nia njema kabisa kwavile ningependa kujiwekeza huko katika sekta ya Utalii.
Karibuni wakuu