Kiwanja cha sqm 520 kiko Mbopo Kinondoni kinauzwa Mil 19

Kiwanja cha sqm 520 kiko Mbopo Kinondoni kinauzwa Mil 19

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2010
Posts
2,743
Reaction score
1,855
Wakuu kiwanja kizuri chenye ukubwa wa mita za mraba 520 kilichopo Mbopo Wilaya ya Kinondoni kinauzwa kwa bei ya shilingi milioni 19.

Kiwanja kipo eneo zuri na ni jirani kabisa na barabara inayotoka Madale kuelekea Mabwepande. Kiwanja hakina kipengere kabisa.

Karibu DM tuyajenge ujipatie kiwanja bora kabisa kwa bei kitonga
 
Njoo uone kilipo mkuu. Kiwanja kizuri sana. Lakini pia mazungumzo yapo. Ila kwa sasa Mbopo bei imechangamka hadi 40000 kwa sqm. Na kwa kuwa kuna mpango wa ujenzi wa barabara ya lami kutoka madale hadi Mabwepande, bei itazidi kupaa zaidi ya hiyo mkuu. Bora kuwahi mapema kujipatia viwanja kwa bei ya chini kama hiyo
 
Naendelea kuwatangazia biashara wakuu. Kiwanja kizuri sana na bei ni ya kawaida kabisa. Njoo tuzungumze hatuwezi kushindwana kabisa
 
Wakuu kiwanja kizuri chenye ukubwa wa mita za mraba 520 kilichopo Mbopo Wilaya ya Kinondoni kinauzwa kwa bei ya shilingi milioni 19.

Kiwanja kipo eneo zuri na ni jirani kabisa na barabara inayotoka Madale kuelekea Mabwepande. Kiwanja hakina kipengere kabisa.

Karibu DM tuyajenge ujipatie kiwanja bora kabisa kwa bei kitonga
Bado kipo?
 
Haya haya kumekucha. Karibu ujipatie kiwanja kizuri kabisa ambacho hakina kipengere. Kwa bei hiyo ninayotaka kuuza ukilinganisha na ukubwa wake ni bei nafuu sana. Njoo tuzungumze hatuwezi kushindwana
 
Kiwanja cha makazi kizuri kabisa kiko mtaa wa Mbopo, Wilaya ya Kinondoni. Kiwanja kina ukubwa mita za mraba 520. Bei inaanzia Milion 19 ila maongezi yapo. Kiwanja kiko jirani kabisa na barabara ya Mbopo Mabwepande ambayo kuna mpango wa kuiwekea lami. Huduma zote za umeme na maji zipo...ni wewe kununua tu kiwanja na kuanza ujenzi maana miundombinu yote ipo. Karibuni tuwasiliane. Nitumie DM tufanye biashara
weka full datails ie contact , location
 
Back
Top Bottom