Kiwanja cha sqm 520 kiko Mbopo Kinondoni kinauzwa Mil 19

Kiwanja cha sqm 520 kiko Mbopo Kinondoni kinauzwa Mil 19

Pia kuna kingine kinapakana na barabara kuu ya Mbopo Mabwepande kabisa. Hiki ni kizuri kwa wale wanaojenga fremu za biashara. Ukinwa wale ni mita za mraba 200. Ukiwa na mtaji wako unajenga fremu za biasharq unaanza kujipatia kodi au wewe mwenyewe unaweka biashara zako kadri unavyotaka. Mbopo kumekucha. Karibuni sana wakuu
 
Naendelea kuwakaribisha wakuu. Ukinunua leo baada ya miezi miwili amana yako yaami ardhi inapqnda thamani. Njoo tufanye biashara. Punguzo lipo maana sisi wote ni pipo na yanazungumzika
 
Naendelea kuwakaribisha mjipatie kiwanja kizuri na kikubwa kwa bei nzuri kabisa. Kiwanja kiko eneo zuri ambalo halitakugharimu kwenye gharama za ujenzi maana kiko eneo liliinuka na ni tambarare na hakuna mazingira ya bonde. Karibu inbox tuyajenge na hatuwezi kushindwana.
 
Karibuni kabla viwanja havijapanda bei. Ukipata kiwanja hiki kwa sasa utakuwa umepata kwa bei ya kitonga sana
 
Kwa sasa serikali iko lwenye harakati za kujenga natabara ya Madale Mabwepande kwa kiwango cha lami. Hii barabara ikikamilila viwanja vitapanda sana. Hivyo ukinunua kwa muda huu baadae utakuwa unapiga shangwe tu
 
V
Mbopo ni wapi?
Unaingilia barabara ipi?
Kikifika 10mil nishtue
Mbopo ni wilaya ya kinondoni. Unaingilia Madale. Kawaida ya ardhi huwa inapanda thamani na bei kila siku na huwa haishuki. Ukipambana unaweza kupata kiwanja cha bei hiyo lakini siyo cha ukubwa na ubora kama hicho nilichotangaza. Karibu sana mkuu
 
Kingekuana hizo sifa unazosema kingekua kishauzwa kitambo tu mkuu, we sema tu ni cha kawaida. Maana hata kiwanja sijui hata kinakuaje bora
 
Kingekuana hizo sifa unazosema kingekua kishauzwa kitambo tu mkuu, we sema tu ni cha kawaida. Maana hata kiwanja sijui hata kinakuaje bora
Mkuu suala la kuuzika ni mtambuka. Anaweza kuja mteja akakipenda ila tukashindwana bei. Ubora wa kiwanja unatokana na mambo mengi sana lakini machache ni haya yafuatayo:
1. Kisiwe mahali hatarishi kama kwenye bonde ambapo unaweza kukumbwa na mafuriko
2. Kiwe kinafikika kwa kuwa na barabara
3. Ili kuokoa gharama za ujenzi, kisiwe na mwinuko mkali sana.
4. Kiwe kikubwa ambacho unaweza kujenga nyumba na ukabakia na eneo la mambo mengine
5. Kuwepo kwa miundombinu kama maji ya DAWASA na umeme wa Tanesco
6. Kiwe eneo ambalo unaweza kupata huduma za kijamii kama zahanati na elimu. Mbopo kuna shule ya sekondari na kituo kikubwa cha afya
7. Kiwe jirani na barabara kubwa ambapo unaweza kutoka kirahisi bila kipingamizi.

Kwahiyo mkuu Shakir sifa zote hapo juu zipo. Karibu sana ndugu yangu jjipatie kiwanja safi kabisa
 
Wakuu naendelea kuwakaribisha mjipatie kiwanja safi na salama kabisa. Karibu inbox tujadiliane
 
Kuna mkataba wa mauziano mkuu. Karibu sana mkuu tuzungumze ujipatie eneo ndani ya Wilaya na Manispaa ya Kinondoni. Wilaya inayokua kwa kasi sana

Bahati mbaya hizi nyaraka hazina msaada mkubwa pale unapozuka mgogoro kwa maana hazithibitishi umiliki halali wa kiwanja. Hao watu wa serikali za mitaa wanatoa mikataba ya mauziano kwa kila mtu. Mwisho wa siku mnakutana watu watano kwenye kiwanja kimoja na kila mtu anaona wenzie ndio wametapeliwa.​
 
Ni kweli kabisa mkuu. Uzuri wakati wa kununua ni muhimu sana kuwauliza hata majirani. Huwa wanasaidia sana katika kuondoa mashaka. Ukiona muuzaji anakuzingira sana na hataki hata uongee na jirani yeyote basi ujue hapo kuna walakini. Karibu sana kiongozi tuyajenge ujipatie kowanja murua kabisa
 
Wapendwa naendelea kuwakaribisha. Hii biashara haina dalali kabisa
 
Bado mali ipo inaendelea kuwasubiri wakuu. Kiwanja kiko eneo zuri sana kwa matumizi ya makazi. Huduma zote kama barabara, maji na umeme zipo. Siyo bondeni na siyo mbali na barabara kubwa. Karibuni sana wakuu
 
Kula 9M
 
Back
Top Bottom