Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,743
- 1,855
Kula 12m mkuu. Mfuko wa shati.Wakuu mali ipo na inawasubiri. Ardhi ndio kila kitu hasa katika kipindi hiki. Njoo tuzungumze tuweke sawa mambo maana sisi ni binadamu hatuwezi kushindwana. Biashara ni mapatano. Mbopo panakua kwa kasi sana
Njoo tuyajenge mkuu. Ongezaongeza ili angalau na mimi nipate kakitu mkuu.Kula 12m mkuu. Mfuko wa shati.
Ikikupendeza njoo upaone mkuu. Yaani ukipaona mwenyewe utatamani hata unjpe zaidi ya hiyo bei. Napauza kwa sababu ya changamoto za maisha tuKula 12m mkuu. Mfuko wa shati.
poa jamaaIkikupendeza njoo upaone mkuu. Yaani ukipaona mwenyewe utatamani hata unjpe zaidi ya hiyo bei. Napauza kwa sababu ya changamoto za maisha tu
Bado kipo?Wakuu kiwanja kizuri chenye ukubwa wa mita za mraba 520 kilichopo Mbopo Wilaya ya Kinondoni kinauzwa kwa bei ya shilingi milioni 19.
Kiwanja kipo eneo zuri na ni jirani kabisa na barabara inayotoka Madale kuelekea Mabwepande. Kiwanja hakina kipengere kabisa.
Karibu DM tuyajenge ujipatie kiwanja bora kabisa kwa bei kitonga
Ndiyo mkuu. Karibu sanaBado kipo?
Njoo tuzungumze ujipatie kiwanja safi kabisaBado kipo?
weka full datails ie contact , location
Kuna mkataba wa mauziano mkuu. Karibu sana mkuu tuzungumze ujipatie eneo ndani ya Wilaya na Manispaa ya Kinondoni. Wilaya inayokua kwa kasi sanaMkuu kuna nyaraka gani?
weka full datails ie contact , location
Karibu sana kiongoziweka full datails ie contact , location