Mimi ndugu yangu ana 20 kwa 15, amejenga vyumba vinne, kisima na imbaki paking ya gari mbili ndogoahsante sana mkuu..
manager nilihisi ni kidogo sana
Uliposema "plan hii" nikajua umeweka ramani ya nyumba husika! Maana vyumba vinatofautiana ukubwa.wakuu habarini za majukumu?
kama kichwa cha habari kinavosema je kwa ukubwa wa kiwanja hicho naweza jenga nyumba ya vyumba vinne kimoja masta public toilet pamoja na store kisha nikapata nafasi ya kuchumbia kisima kirefu pamoja na parking??
naomba kuwasilisha kwenu π
Nenda Facebook, jiunge na group la UJENZI NA RAMANI ZA NYUMBA kule utapata wataalamu wa kukupa ushauri wa uhakika.wakuu habarini za majukumu?
kama kichwa cha habari kinavosema je kwa ukubwa wa kiwanja hicho naweza jenga nyumba ya vyumba vinne kimoja masta public toilet pamoja na store kisha nikapata nafasi ya kuchumbia kisima kirefu pamoja na parking??
naomba kuwasilisha kwenu [emoji120]
Inatosha kama vyumba vyako vitakuwa sio vikubwa sana ingawa vipimo vya miguu ni changamoto sana kujua ukubwa sahihi wa kiwanjaWakuu habarini za majukumu?
Kama kichwa cha habari kinavosema je kwa ukubwa wa kiwanja hicho naweza jenga nyumba ya vyumba vinne kimoja masta public toilet pamoja na store kisha nikapata nafasi ya kuchumbia kisima kirefu pamoja na parking?
Naomba kuwasilisha kwenu π
kina square mita 400 mkuu vipi kitatosha?
Kinatosha na parking unapata, tafuta mtaalam akuchoree ramani kulingana na ukubwa wa plot yako.ahsante kwa ushauri wako mkuu..
vipi nipunguze idadi ya vyumba au ili kitoshe..