Kiwanja cha ukubwa wa miguu 20 kwa 20 je kinatosha kwa plan hii?

Kiwanja cha ukubwa wa miguu 20 kwa 20 je kinatosha kwa plan hii?

dracular

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
769
Reaction score
1,069
Wakuu habarini za majukumu?

Kama kichwa cha habari kinavosema je, kwa ukubwa wa kiwanja hicho naweza jenga nyumba ya vyumba vinne kimoja masta public toilet pamoja na store kisha nikapata nafasi ya kuchimba kisima kirefu pamoja na parking?

Naomba kuwasilisha kwenu 🙏
 
wakuu habarini za majukumu?
kama kichwa cha habari kinavosema je kwa ukubwa wa kiwanja hicho naweza jenga nyumba ya vyumba vinne kimoja masta public toilet pamoja na store kisha nikapata nafasi ya kuchumbia kisima kirefu pamoja na parking??
naomba kuwasilisha kwenu 🙏
Uliposema "plan hii" nikajua umeweka ramani ya nyumba husika! Maana vyumba vinatofautiana ukubwa.
 
Unataka majibu ya kitaalam au ya kihuni? Weka ramani ndio upewe jibu la uhakika
 
wakuu habarini za majukumu?
kama kichwa cha habari kinavosema je kwa ukubwa wa kiwanja hicho naweza jenga nyumba ya vyumba vinne kimoja masta public toilet pamoja na store kisha nikapata nafasi ya kuchumbia kisima kirefu pamoja na parking??
naomba kuwasilisha kwenu [emoji120]
Nenda Facebook, jiunge na group la UJENZI NA RAMANI ZA NYUMBA kule utapata wataalamu wa kukupa ushauri wa uhakika.
 
Wakuu habarini za majukumu?

Kama kichwa cha habari kinavosema je kwa ukubwa wa kiwanja hicho naweza jenga nyumba ya vyumba vinne kimoja masta public toilet pamoja na store kisha nikapata nafasi ya kuchumbia kisima kirefu pamoja na parking?

Naomba kuwasilisha kwenu 🙏
Inatosha kama vyumba vyako vitakuwa sio vikubwa sana ingawa vipimo vya miguu ni changamoto sana kujua ukubwa sahihi wa kiwanja
 
Inatosha kama vyumba vyako vitakuwa sio vikubwa sana ingawa vipimo vya miguu ni changamoto sana kujua ukubwa sahihi wa kiwanja
Kina square mita 400 mkuu vipi kitatosha?
 
Back
Top Bottom