KIWANJA CHENYE MSINGI, SQM.500, KINAUZWA NA BANK,TSHS.13 MILIONI, MBEZI-MSAKUZI.

KIWANJA CHENYE MSINGI, SQM.500, KINAUZWA NA BANK,TSHS.13 MILIONI, MBEZI-MSAKUZI.

Madalali hizo 10% mnazojiwekea huwa mnalipa na kodi? Kwa nini usiweke tu hela ya kiungwana.
Madlali wa Bongo wanataka wakiuza kiwanja au nyumba wapate fedha ya kununua gari. Huwa siwaelewi hawa watu na ndiyo hufanya bei za nyumba na viwanja kuwa juu.
 
Malipo ya dalali yanatoka kwenye hiyo milion 13,ama kuna hela nyingine mnunuaji anaitowa?
 
Kumbukeni 10% ya Dalali sw.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom