Madlali wa Bongo wanataka wakiuza kiwanja au nyumba wapate fedha ya kununua gari. Huwa siwaelewi hawa watu na ndiyo hufanya bei za nyumba na viwanja kuwa juu.Madalali hizo 10% mnazojiwekea huwa mnalipa na kodi? Kwa nini usiweke tu hela ya kiungwana.
Beira unataka kuninunulia kiwanja mbezi ๐น
Ndio nataka nikununulie ila soma kwanza commentBeira unataka kuninunulia kiwanja mbezi ๐น
Nimekuelewa vizuri sana, unataka tuanze kuwasema wasio na pesa ๐น๐น๐นNdio nataka nikununulie ila soma kwanza comment
Hapana tusiwaseme maana mimi mwenyewe Sina pesa ni kama wao kasoro tarehe tuNimekuelewa vizuri sana, unataka tuanze kuwasema wasio na pesa ๐น๐น๐น