Kiwanja chenye square meters 290 kinatosha kujenga?

Nyumba yenye vyumba vitatu, sebule, kitchen, dinning, na public toilet na chumba kimoja walau kiwe master
Hesabu zimekubali vizuri na hiyo public toilet tumeweka na bafu. Kwa hiyo ukitaka undani wake njoo PM usaidiwe. Karibu Sana.
 
Nyumba yenye vyumba vitatu, sebule, kitchen, dinning, na public toilet na chumba kimoja walau kiwe master
Kwa hitaji hilo 117sqm zinatosha.
Urefu 13m na upana 9m, habari za vibaraza na mbwembwe zingine haizidi 3m kutanua.
Tatizo wajenzi tunatishana sana...
 
Habari za wakati huu wana JF

Hivi kiwanja cha 290 sq meters kinaweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu, sebule, dinning, choo na bafu?

17m kwa 17m - kinatosha kujenga nyumba sema parking mtihani maana nyumba itamaliza kiwanja ,ukijenga nyumba ya 12m kwa 12m means utaacha 3m tatu kila upande.
 
17m kwa 17m - kinatosha kujenga nyumba sema parking mtihani maana nyumba itamaliza kiwanja ,ukijenga nyumba ya 12m kwa 12m means utaacha 3m tatu kila upande.
Inabidi ujue dimensions. Eneo peke yake haliwezi kukwambia ukubwa wa nyumba.
Mstatili, mraba, pembetatu? Ngapi kwa ngapi?
 
Habari za wakati huu wana JF

Hivi kiwanja cha 290 sq meters kinaweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu, sebule, dinning, choo na bafu?
Itatokabndogo sana na haibakibsehemu nje ya kupakingari au hauta nunua gari maisha Yako yote ?
 
Sasa kama duniani tunapita, kwanini watu wanajenga njiani...??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…