- Thread starter
- #21
Asante sana.Kinatosha ila usiweke dining, na master bedroom iwe moja tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana.Kinatosha ila usiweke dining, na master bedroom iwe moja tuu
AiseehHicho ni kinyungu au hunajenga choo
Nashkuru sanaKinatosha. Ila tumia architect akuandalie ramani kulingana na ukubwa wa eneo lako.
Nyumba yenye vyumba vitatu, sebule, kitchen, dinning, na public toilet na chumba kimoja walau kiwe masterUnataka kujenga kitu gani
Hesabu zimekubali vizuri na hiyo public toilet tumeweka na bafu. Kwa hiyo ukitaka undani wake njoo PM usaidiwe. Karibu Sana.Nyumba yenye vyumba vitatu, sebule, kitchen, dinning, na public toilet na chumba kimoja walau kiwe master
Kwa hitaji hilo 117sqm zinatosha.Nyumba yenye vyumba vitatu, sebule, kitchen, dinning, na public toilet na chumba kimoja walau kiwe master
Nashkuru sana kiongozi.Kwa hitaji hilo 117sqm zinatosha.
Urefu 13m na upana 9m, habari za vibaraza na mbwembwe zingine haizidi 3m kutanua.
Tatizo wajenzi tunatishana sana...
Sawa kiongozi.Hesabu zimekubali vizuri na hiyo public toilet tumeweka na bafu. Kwa hiyo ukitaka undani wake njoo PM usaidiwe. Karibu Sana.
Habari za wakati huu wana JF
Hivi kiwanja cha 290 sq meters kinaweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu, sebule, dinning, choo na bafu?
Inabidi ujue dimensions. Eneo peke yake haliwezi kukwambia ukubwa wa nyumba.17m kwa 17m - kinatosha kujenga nyumba sema parking mtihani maana nyumba itamaliza kiwanja ,ukijenga nyumba ya 12m kwa 12m means utaacha 3m tatu kila upande.
Itatokabndogo sana na haibakibsehemu nje ya kupakingari au hauta nunua gari maisha Yako yote ?Habari za wakati huu wana JF
Hivi kiwanja cha 290 sq meters kinaweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu, sebule, dinning, choo na bafu?
KINATOSHA MkuuHabari za wakati huu wana JF
Hivi kiwanja cha 290 sq meters kinaweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu, sebule, dinning, choo na bafu?