Plot4Sale Kiwanja kianuzwa Dodoma

Plot4Sale Kiwanja kianuzwa Dodoma

Ibanda1

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2015
Posts
723
Reaction score
1,125
Habari wandugu,

kiwanja cha makazi kinauzwa kipo mjini Dodoma, ntyuka mtaa wa chimala. Kimepimwa Kina ukubwa wa Square meter 408, kipo Karibu na barabara pia nguzo ya umeme ipo pembeni ya kiwanja na Bomba la maji limepita pembezoni mwa kiwanja.

Screenshot_20240528_100706_Facebook.jpg
Screenshot_20240528_100716_Facebook.jpg
 
Habari wandugu,

kiwanja cha makazi kinauzwa kipo mjini Dodoma, ntyuka mtaa wa chimala. Kimepimwa Kina ukubwa wa Square meter 408, kipo Karibu na barabara pia nguzo ya umeme ipo pembeni ya kiwanja na Bomba la maji limepita pembezoni mwa kiwanja.

View attachment 3001499View attachment 3001500
Unafanya biashara huku ukishindwa kabisa kuweka bei ya bidhaa yako, na pia mawasiliano yako! Uko serious kweli Comrade!!
 
Unapofanya biashara huku ukishindwa kabisa kuweka bei ya bidhaa yako, na pia mawasiliano yako; unategemea kupata wateja kweli!!
Ni mambo ya kawaida tu kwa wafanya biashara wa Tanzania. Hapo si ajabu utaambiwa ukitaka bei njoo PM!
 
Hiki kiwanja mbona unauza laki 3 kwa nini???
 
Unafanya biashara huku ukishindwa kabisa kuweka bei ya bidhaa yako, na pia mawasiliano yako! Uko serious kweli Comrade!!
Huyu ni tapeli yaani yeye alitapeliwa sada anataka kutapeli. Kumbuka Mh. Slaa kafumua ofisi ya ardhi.
 
Back
Top Bottom