Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafanya biashara huku ukishindwa kabisa kuweka bei ya bidhaa yako, na pia mawasiliano yako! Uko serious kweli Comrade!!Habari wandugu,
kiwanja cha makazi kinauzwa kipo mjini Dodoma, ntyuka mtaa wa chimala. Kimepimwa Kina ukubwa wa Square meter 408, kipo Karibu na barabara pia nguzo ya umeme ipo pembeni ya kiwanja na Bomba la maji limepita pembezoni mwa kiwanja.
View attachment 3001499View attachment 3001500
Ni mambo ya kawaida tu kwa wafanya biashara wa Tanzania. Hapo si ajabu utaambiwa ukitaka bei njoo PM!Unapofanya biashara huku ukishindwa kabisa kuweka bei ya bidhaa yako, na pia mawasiliano yako; unategemea kupata wateja kweli!!
Huyu ni tapeli yaani yeye alitapeliwa sada anataka kutapeli. Kumbuka Mh. Slaa kafumua ofisi ya ardhi.Unafanya biashara huku ukishindwa kabisa kuweka bei ya bidhaa yako, na pia mawasiliano yako! Uko serious kweli Comrade!!