Plot4Sale Kiwanja kilikuwa kinauzwa milion 500 kikashuka milion 450, Mbezi Luguruni

Dalali wa Mjini

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2024
Posts
1,119
Reaction score
1,618
Lile eneo la Mbezi Luguruni Sasa limeshuka Bei kabisa. Hii Ni Taarifa kutoka Kwa mmiliki wa eneo.

Kiwanja kilikuwa kinauzwa milion 500 kikashuka milion 450 na Sasa limeshuka Zaidi kutokana na changamoto ambazo anazo mmiliki wa kiwanja.

Sqm 1387
Title Deed
Matumizi ni makazi na biashara
Location mbezi Luguruni
Bei milion 300 hii ni Bei ya mwisho Kwa mwenye eneo.

Ukihitaji kuliona basi nakupeka na huwenda ukabahatika kuichukuwa kwa Bei ya chini baada ya kukutana na mmiliki wa kiwanja.

📱0754693556
 
Unapouza bidhaa usiwe na mambo ya ajabu acha story , unadhani kiwanja au bidhaa iliyouzwa 500 na haikutoka ndo uje na 450 tena kwa kuonyesha wazi bei imepungua?

Huwezi kupata mteja kwa kumwambia bei ya zamani na Sasa hakupi hiyo hela atashusha zaidi nenda direct ninyi marketing mnajifunziaga YouTube?
 
Nimeweka Bei mkuu.

Mimi ni mtoa taarifa
Kwahiyo nikipewa taarifa na Mwenye eneo basi na Mimi nawapa ninyi taarifa
 
Lile eneo la Mbezi Luguruni Sasa limeshuka Bei kabisa. Hii Ni Taarifa kutoka Kwa mmiliki wa eneo.

Kiwanja kilikuwa kinauzwa milion 500 kikashuka milion 450 na Sasa limeshuka Zaidi kutokana na changamoto ambazo anazo mmiliki wa kiwanja.

Sqm 1387
Title Deed
Matumizi ni makazi na biashara
Location mbezi Luguruni
Bei milion 300 hii ni Bei ya mwisho Kwa mwenye eneo.

Ukihitaji kuliona basi nakupeka na huwenda ukabahatika kuichukuwa kwa Bei ya chini baada ya kukutana na mmiliki wa kiwanja.

📱0754693556
😃😃😃😃😃😃
Bei ya mwenye kiwanja: 130,000,000
Bei ya dalali: 300,000,000
 
Kama kina maslahi sio mbaya. Mimi juzi nilinunua sehemu ndogo tu. Upana mita tatu kasoro na marefu mita tano kwa 10M. Kwa sababu kina maslahi na mimi na kitanipatia faida.
 
Back
Top Bottom