Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,119
- 1,618
- Thread starter
- #21
Lete habari Tajiri unataka kuona eneo
Lete habari Tajiri unataka kuona eneo
Nashtua umaskini mkuu, ila tupo pamojaLete habari Tajiri unataka kuona eneo
Aman itawaleNashtua umaskini mkuu, ila tupo pamoja
Hicho kiwanja value yake haizidi 90mLile eneo la Mbezi Luguruni Sasa limeshuka Bei kabisa. Hii Ni Taarifa kutoka Kwa mmiliki wa eneo.
Kiwanja kilikuwa kinauzwa milion 500 kikashuka milion 450 na Sasa limeshuka Zaidi kutokana na changamoto ambazo anazo mmiliki wa kiwanja.
Sqm 1387
Title Deed
Matumizi ni makazi na biashara
Location mbezi Luguruni
Bei milion 300 hii ni Bei ya mwisho Kwa mwenye eneo.
Ukihitaji kuliona basi nakupeka na huwenda ukabahatika kuichukuwa kwa Bei ya chini baada ya kukutana na mmiliki wa kiwanja.
📱0754693556
Wewe ndio unasema hivyo mkuu.Hicho kiwanja value yake haizidi 90m
Acheni ulanguziWewe ndio unasema hivyo mkuu.
Je,umekiona hicho kiwanja?
Bila Shaka mkuuAnyway akipatikana mteja uza tu!
Hii sio maandazi bossAcheni ulanguzi
Ache ulanguzi hakuna Ardhi ya 1300sq meters kWa bei hızo huko ulipopatajaHii sio maandazi boss
DarMbezi Luguruni iko mkoa gani?