Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,119
- 1,618
Hapo bado kuondoa 200 nyingine.Bei milion 300 hii ni Bei ya mwisho Kwa mwenye eneo.
Ukihitaji kuliona basi nakupeka na huwenda ukabahatika kuichukuwa kwa Bei ya chini baada ya kukutana na mmiliki wa kiwanja.
π±0754693556
Hata kama eneo sio langu lakini simshauri kuuza Kwa milion 100Hapo bado kuondoa 200 nyingine.
WaleteTafuta wachina
Kuna wachina wana hela acha tu
wanapanga godowni kwa $250.000 kwa miezi sita, nilipigwa na butwaa....
Nichek wasap nikutumie video kabisaWeka picha ,maana Ndio MDA WA kununua huu kipindi cha mvua
Unapouza bidhaa usiwe na mambo ya ajabu acha story , unadhani kiwanja au bidhaa iliyouzwa 500 na haikutoka ndo uje na 450 tena kwa kuonyesha wazi bei imepungua?Lile eneo la Mbezi Luguruni Sasa limeshuka Bei kabisa. Hii Ni Taarifa kutoka Kwa mmiliki wa eneo.
Kiwanja kilikuwa kinauzwa milion 500 kikashuka milion 450 na Sasa limeshuka Zaidi kutokana na changamoto ambazo anazo mmiliki wa kiwanja.
Sqm 1387
Title Deed
Matumizi ni makazi na biashara
Location mbezi Luguruni
Bei milion 300 hii ni Bei ya mwisho Kwa mwenye eneo.
Ukihitaji kuliona basi nakupeka na huwenda ukabahatika kuichukuwa kwa Bei ya chini baada ya kukutana na mmiliki wa kiwanja.
π±0754693556
Sasa $250 ~700000 TZS na ushee ni hela hiyo si frame Moja kwa mweziTafuta wachina
Kuna wachina wana hela acha tu
wanapanga godowni kwa $250.000 kwa miezi sita, nilipigwa na butwaa....
Nimeweka Bei mkuu.Unapouza bidhaa usiwe na mambo ya ajabu acha story , unadhani kiwanja au bidhaa iliyouzwa 500 na haikutoka ndo uje na 450 tena kwa kuonyesha wazi bei imepungua?
Huwezi kupata mteja kwa kumwambia bei ya zamani na Sasa hakupi hiyo hela atashusha zaidi nenda direct ninyi marketing mnajifunziaga YouTube?
ππππππLile eneo la Mbezi Luguruni Sasa limeshuka Bei kabisa. Hii Ni Taarifa kutoka Kwa mmiliki wa eneo.
Kiwanja kilikuwa kinauzwa milion 500 kikashuka milion 450 na Sasa limeshuka Zaidi kutokana na changamoto ambazo anazo mmiliki wa kiwanja.
Sqm 1387
Title Deed
Matumizi ni makazi na biashara
Location mbezi Luguruni
Bei milion 300 hii ni Bei ya mwisho Kwa mwenye eneo.
Ukihitaji kuliona basi nakupeka na huwenda ukabahatika kuichukuwa kwa Bei ya chini baada ya kukutana na mmiliki wa kiwanja.
π±0754693556
Hapo umeandika $250 unajua sio $250,000$250.000 kwa miezi sita
keyboard yangu imefeli....Hapo umeandika $250 unajua sio $250,000
Basi ungeongeza k mbele ungesomeka vizuri yaan $250kkeyboard yangu imefeli....
ni coma na sifuri 3
Daah mkuu unauwa biasharaππππππ
Bei ya mwenye kiwanja: 130,000,000
Bei ya dalali: 300,000,000
MKuu umekosea hizo sqm zako.Luguruni Kiwanja 300m afu hakijafika ata square meter 200 ni maeneo gani hapo Luguruni?