Kiwanja kinahtajika Tanga mjini

Kiwanja kinahtajika Tanga mjini

Mjini unapata kiwanja milioni 2!?? Basi Tanga sio mjini.
 
Basi tanga sio JIJI....kama mjini kati kuna kiwanja cha 1.5 au 2 million
 
Sure mkuu haiwezekani city centre ukutane na plot ya chini ya 500m
Bado kuna mikoa city center unapata kiwanja milioni 70mil yaani within town kama singida, Ila Tanga hupati.... simiyu na katavi hii mikoa mipya.
 
Back
Top Bottom