Kiwanja kinahtajika Tanga mjini

Parrot_2024

Member
Joined
Dec 16, 2017
Posts
63
Reaction score
28
Habari zenu,

Kiwanja kinahtajika Tanga mjini isizid 1.5 - 2M. Mwenye nacho anisaidie.

Asanteni
 
Mjini unapata kiwanja milioni 2!?? Basi Tanga sio mjini.
 
Basi tanga sio JIJI....kama mjini kati kuna kiwanja cha 1.5 au 2 million
 
Sure mkuu haiwezekani city centre ukutane na plot ya chini ya 500m
Bado kuna mikoa city center unapata kiwanja milioni 70mil yaani within town kama singida, Ila Tanga hupati.... simiyu na katavi hii mikoa mipya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…