Plot4Sale Kiwanja kinauzwa 70 kwa 70 Kigamboni Mwembe Mdogo

Jemima Jackson

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2019
Posts
748
Reaction score
934
Habari wadau!

Nauza kiwanja changu mwembe mdogo kigambo mbele kidogo na ya Dege umbali kutaka Ferry nikama km 25 kufika kwenye kiwanja.

1.UKUBWA hatua 70 kwa 70
2.MUONEKANO Kiwanja kiko tambalale akuna milima wala mabonde kimenyooka
3.DOCUMENTS Hati za serekali ya Mtaa
7.BEI 12,000,000 Tsh

Mwenye kuhitaji nitafute kupitia kwenye namba hii 0622-4745-48

1.jpg
2.jpg
3.jpg
4.jpg
 
Umejitahidi kuweka taarifa za kujitosheleza ila ningeshauri utumie mita badala ya hatua. Hatua moja kwa mtu b zinaweza zikatoka hatua mbili kwa mtu a kwa hiyo inakua ngumu kidogo kwa mtu wa mbali kuelewa ukubwa halisi wa kiwanja kilichopimwa kwa hatu, ila mita mita/feet ni constant. Kwa hiyo ukitumia mita utakua umemrahisishia zaidi mnunuzi kuelewa.
 
fact!
 
Asante kwa ushauri tunatumia hatua kwasabu ya kutokua na vifaa vya kupimia urefu mkubwa ila hatuma moja nisamwa na mita moja kwayo kiwanja kina ukubwa wa mita 70 kwa 70 kinapungua mita 30 kulingana na kiwanja cha mpira.
 
Habari wadau!

Nauza kiwanja changu mwembe mdogo kigambo mbele kidogo na ya Dege umbali kutaka Ferry nikama km 25 kufika kwenye kiwanja.

1.UKUBWA hatua 70 kwa 70
2.MUONEKANO Kiwanja kiko tambalale akuna milima wala mabonde kimenyooka
3.DOCUMENTS Hati za serekali ya Mtaa
7.BEI 12,000,000 Tsh

Mwenye kuhitaji nitafute kupitia kwenye namba hii 0622-4745-48

View attachment 1634951View attachment 1634952View attachment 1634953View attachment 1634954
Hakuna tindiga mvua ikinyesha?na ule mchanga kwenye barabara za mitaa gari ndogo litapita?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo maeneo nayajua vema kule kama ukijenga nyumba usiponyanyu msingi juu siku mvua ikinyesha jiandae kuvua kambale

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu inaonyesha wewe ni mzoefu sana kwenye mambo ya viwanja unayajua maeneo yote ya Tanzania safi sana hapa kwangu labda kama panajaa maji wakati wa kiangazi ila kwasasa mvua zinanyesha hakuna maji njia zinapitika kiwanja kikavu
 
Mkuu inaonyesha wewe ni mzoefu sana kwenye mambo ya viwanja unajua maeneo yote ya Tanzania safi sana hapa kwangu labda kama panajaa maji wakati wa kiangazi ila kwasasa mvua zinanyesha hakuna maji njia zinapitika kiwanja kikavu
 
Ujaelezea huduma za kijamii zipo kama umeme maji hospital shule nk.
Hakuna huduma za kijamii nguzo za umeme ziko mbali kidogo ila kuna watu wanaishi, wengine wanajenga kwakifupi bado apajangamka, kutoka ferry hadi mwembe ndogo kituoni nauli kati ya 500 hadi 700 , kutoka kituo cha dadala hadi kwenye kiwanja bodaboda wanachaji 1,000
 
Mkuu inaonyesha wewe ni mzoefu sana kwenye mambo ya viwanja unayajua maeneo yote ya Tanzania safi sana hapa kwangu labda kama panajaa maji wakati wa kiangazi ila kwasasa mvua zinanyesha hakuna maji njia zinapitika kiwanja kikavu
Safi ila kwa maeneo yako sio kote kuna sehemu pazuri tuu kwa mfano ukivuka magorofa ya mmarekani mbele kidogo kushoto ukiacha kidaraja kile maeneo yale mpunga unavuna fresh tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom