Plot4Sale Kiwanja kinauzwa 70 kwa 70 Kigamboni Mwembe Mdogo

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa 70 kwa 70 Kigamboni Mwembe Mdogo

Mkuu inaonyesha wewe ni mzoefu sana kwenye mambo ya viwanja unayajua maeneo yote ya Tanzania safi sana hapa kwangu labda kama panajaa maji wakati wa kiangazi ila kwasasa mvua zinanyesha hakuna maji njia zinapitika kiwanja kikavu
jibu la kiufundi lisilokera. heko kwako
 
sio
Asante kwa ushauri tunatumia hatua kwasabu ya kutokua na vifaa vya kupimia urefu mkubwa ila hatuma moja nisamwa na mita moja kwayo kiwanja kina ukubwa wa mita 70 kwa 70 kinapungua mita 30 kulingana na kiwanja cha mpira.
sio kweli hatua moja sio sawa kabisa na mita moja.
 
Hakuna huduma za kijamii nguzo za umeme ziko mbali kidogo ila kuna watu wanaishi, wengine wanajenga kwakifupi bado apajangamka, kutoka ferry hadi mwembe ndogo kituoni nauli kati ya 500 hadi 700 , kutoka kituo cha dadala hadi kwenye kiwanja bodaboda wanachaji 1,000
hatusemi nauli kiasi gani , watu wana magari yao sema kutoka ferry hadi site ni km ngapi .ndio mtu atakadiria umbali
 
hatusemi nauli kiasi gani , watu wana magari yao sema kutoka ferry hadi site ni km ngapi .ndio mtu atakadiria umbali
Ooh kumbe nipe maujanja kilo mita nizipime kwa kutumia nini chifu?
 
Ooh kumbe nipe maujanja kilo mita nizipime kwa kutumia nini chifu?
bosi kiwanja chako mwenyewe hujui mita ngapi kwa ngapi,hujui ni umbali gani kutoka centre yani hujui lolote kuhusu site yako
 
bosi kiwanja chako mwenyewe hujui mita ngapi kwa ngapi,hujui ni umbali gani kutoka centre yani hujui lolote kuhusu site yako
Weew mjuaji nimekuliza hizo km zinapimwaje au kwakutumia nini umekimbilia kwingine jibu km zinapimwa kwakutumia macha au miguu jibu swali usianzishe mada mpya na story ndefu ndefe jibu swali kisha uliza au anzisha ligi mpya inaoneke uko viziru kwa ligi .
 
1. Kiwanja kiko KIGAMBONI mwembe ndogo
2. Kiwanja kina ukubwa Heka moja
3.Kipo umbali kutoka ferry km 21
4.Kipo umbali wa km 2 kutoka barabara ya lami
5. Kina hati documents za serikali za mitaa
6.Bei gani 12,000,000 Tsh
7.Mawasiliano 0622-474-548

kiwanja.jpg
kiwanja2.jpg
kiwanja3.jpg
 
Back
Top Bottom