Jemima Jackson
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 748
- 934
fact!Umejitahidi kuweka taarifa za kujitosheleza ila ningeshauri utumie mita badala ya hatua. Hatua moja kwa mtu b zinaweza zikatoka hatua mbili kwa mtu a kwa hiyo inakua ngumu kidogo kwa mtu wa mbali kuelewa ukubwa halisi wa kiwanja kilichopimwa kwa hatu, ila mita mita/feet ni constant. Kwa hiyo ukitumia mita utakua umemrahisishia zaidi mnunuzi kuelewa.
Asante kwa ushauri tunatumia hatua kwasabu ya kutokua na vifaa vya kupimia urefu mkubwa ila hatuma moja nisamwa na mita moja kwayo kiwanja kina ukubwa wa mita 70 kwa 70 kinapungua mita 30 kulingana na kiwanja cha mpira.Umejitahidi kuweka taarifa za kujitosheleza ila ningeshauri utumie mita badala ya hatua. Hatua moja kwa mtu b zinaweza zikatoka hatua mbili kwa mtu a kwa hiyo inakua ngumu kidogo kwa mtu wa mbali kuelewa ukubwa halisi wa kiwanja kilichopimwa kwa hatu, ila mita mita/feet ni constant. Kwa hiyo ukitumia mita utakua umemrahisishia zaidi mnunuzi kuelewa.
Hakuna tindiga mvua ikinyesha?na ule mchanga kwenye barabara za mitaa gari ndogo litapita?Habari wadau!
Nauza kiwanja changu mwembe mdogo kigambo mbele kidogo na ya Dege umbali kutaka Ferry nikama km 25 kufika kwenye kiwanja.
1.UKUBWA hatua 70 kwa 70
2.MUONEKANO Kiwanja kiko tambalale akuna milima wala mabonde kimenyooka
3.DOCUMENTS Hati za serekali ya Mtaa
7.BEI 12,000,000 Tsh
Mwenye kuhitaji nitafute kupitia kwenye namba hii 0622-4745-48
View attachment 1634951View attachment 1634952View attachment 1634953View attachment 1634954
Yani hata mimi kwajinsi nnavyopaona kama vile pana tindigaHakuna tindiga mvua ikinyesha?na ule mchanga kwenye barabara za mitaa gari ndogo litapita?
Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly ni heka mojaKwa hiyo ,hiyo ni heka moja mkuu?
Hakuna jana nikua kule pako vizuri gari pikipiki miguu unapita bila shida hadi kwenye kiwanja.Hakuna tindiga mvua ikinyesha?na ule mchanga kwenye barabara za mitaa gari ndogo litapita?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo maeneo nayajua vema kule kama ukijenga nyumba usiponyanyu msingi juu siku mvua ikinyesha jiandae kuvua kambaleYani hata mimi kwajinsi nnavyopaona kama vile pana tindiga
Ok mkuu ngoja tujipangeHakuna jana nikua kule pako vizuri gari pikipiki miguu unapita bila shida hadi kwenye kiwanja.
Kwenye picha mkuu umeo sehemu yeyote kuna maji au sasa hivi nikiangazi?Yani hata mimi kwajinsi nnavyopaona kama vile pana tindiga
Mkuu inaonyesha wewe ni mzoefu sana kwenye mambo ya viwanja unayajua maeneo yote ya Tanzania safi sana hapa kwangu labda kama panajaa maji wakati wa kiangazi ila kwasasa mvua zinanyesha hakuna maji njia zinapitika kiwanja kikavuHayo maeneo nayajua vema kule kama ukijenga nyumba usiponyanyu msingi juu siku mvua ikinyesha jiandae kuvua kambale
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu inaonyesha wewe ni mzoefu sana kwenye mambo ya viwanja unajua maeneo yote ya Tanzania safi sana hapa kwangu labda kama panajaa maji wakati wa kiangazi ila kwasasa mvua zinanyesha hakuna maji njia zinapitika kiwanja kikavu
Hakuna huduma za kijamii nguzo za umeme ziko mbali kidogo ila kuna watu wanaishi, wengine wanajenga kwakifupi bado apajangamka, kutoka ferry hadi mwembe ndogo kituoni nauli kati ya 500 hadi 700 , kutoka kituo cha dadala hadi kwenye kiwanja bodaboda wanachaji 1,000Ujaelezea huduma za kijamii zipo kama umeme maji hospital shule nk.
Safi ila kwa maeneo yako sio kote kuna sehemu pazuri tuu kwa mfano ukivuka magorofa ya mmarekani mbele kidogo kushoto ukiacha kidaraja kile maeneo yale mpunga unavuna fresh tuuMkuu inaonyesha wewe ni mzoefu sana kwenye mambo ya viwanja unayajua maeneo yote ya Tanzania safi sana hapa kwangu labda kama panajaa maji wakati wa kiangazi ila kwasasa mvua zinanyesha hakuna maji njia zinapitika kiwanja kikavu
Mkuu umechanganya location magorafa ya marekani yako MarekaniSafi ila kwa maeneo yako sio kote kuna sehemu pazuri tuu kwa mfano ukivuka magorofa ya mmarekani mbele kidogo kushoto ukiacha kidaraja kile maeneo yale mpunga unavuna fresh tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo karibu!!Hilo ni shamba mkuu