Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Chanika

Pole sana mkuu ..uchumi kidogo mifukoni hauko sawa punguza kidogo mzee walau ufike4.5
 
Pole sana mkuu ..uchumi kidogo mifukoni hauko sawa punguza kidogo mzee walau ufike4.5
Mkuu nimejitahidi sana kupunguza. Kwa bei hiyo nitakuwa nimepata hasara ya 1.5m maana nilinunua 6M
 
Naona umeshusha bei mkuu. Hichi kiwanja nakitamani ila madeal yangu yote yamegoma. Pambana mkuu utauza tu
 
mkuu m5 unachukua?hali kwa sasa ni mbaya sana akuna cha semina,warsha wala overtime ni mwendo wa kutegemea mshahara tu ambao pia una makato ya kibenki
Chukua nusu kama mdau alivyoshauri hapo juu
 
Kukigawa haipendezi,kina hati kama sio shusha 3-2.5 m chapuchapu julai utauza chini mdororo wa uchumi aisee[emoji24]
 
Kukigawa haipendezi,kina hati kama sio shusha 3-2.5 m chapuchapu julai utauza chini mdororo wa uchumi aisee[emoji24]
Duuuh. July kwangu ni mbali sana
 
Hizo bei mbna za zaman sana mi nnaacho 50 kwa 30 milion 4
 
Hizo bei mbna za zaman sana mi nnaacho 50 kwa 30 milion 4
Unaongelea zamanj ipi mkuu maana mi nilinunua 6M. Alafu pia hicho chako kipo wapi maana isije ikawa unaongelea bei ya Kibiti
 
Ungeweka picha ingevutia sana mkuu
 
Ungeweka picha ingevutia sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…