Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Chanika

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Chanika

Nimepata pia wazo mbadala la kukigawa hichi kiwanja Mara mbili na kuuza 4,500,000.
So kwa atakaevutiwa anaweza kuchagua kununua chote kwa 8m au nusu kwa bei niliyotaja hapo juu. Karibuni sana wadau
 
Anayehitaji 35+35 kisarawe musese kikiwa na nyumba iliyopauliwa nusu kijumba kina choo,sitting room,huko,chumba cha kulala bei mil.4 maongezi yapo 0683666702
Wamekusikia mkuu. Na wewe nitafutie mteja basi
 
Wakuu nimepunguza bei baada ya kuona sipati Wateja na mambo yangu yanakwama.
Mwenye Million 7 aje pm tufanye biashara
 
Back
Top Bottom