Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna bei iliwekwa na wizara husikaBei elekezi ni ipi mkuu. Fafanua kidogo
Kimara nilinunua kiamba nikaotesha migomba na sale na imestawi vizuri saanaMigomba labda uende Moshi mkuu
Mbona umechanganya, mara m 6 Mara 6.5, mara utagawa mara mbilli sasa ikoje ndugu.Kipo Chanika mwisho eneo linaloitwa Gogo minazi mirefu.
Urefu ni meter 42, upana meter 25. Gari inafika na imezungukwa na fensi za ukuta mbili za majirani.
Bei ni million 6 kutoka Million 8 niliyotangaza hapo awali. Karibuni pm tufanye biashara.
Pia nimepata wazo mbadala la kukigawa hichi kiwanja Mara mbili yaani 21 kwa 25 na kuuza 3,500,000.
So kwa atakaevutiwa anaweza kuchagua kununua chote kwa Million 6.5 au nusu kwa bei niliyotaja hapo juu. Karibuni sana wadau.
Nimelazimika kupunguza bei baada ya kukosa Wateja na ninahitaji pesa ya kuendeleza biashara zangu.
Asanteni wadau kwa ushirikiano wenu
Mbona husomeki mkuu? No 6.5m au 6mKipo Chanika mwisho eneo linaloitwa Gogo minazi mirefu.
Urefu ni meter 42, upana meter 25. Gari inafika na imezungukwa na fensi za ukuta mbili za majirani.
Bei ni million 6 kutoka Million 8 niliyotangaza hapo awali. Karibuni pm tufanye biashara.
Pia nimepata wazo mbadala la kukigawa hichi kiwanja Mara mbili yaani 21 kwa 25 na kuuza 3,500,000.
So kwa atakaevutiwa anaweza kuchagua kununua chote kwa Million 6.5 au nusu kwa bei niliyotaja hapo juu. Karibuni sana wadau.
Nimelazimika kupunguza bei baada ya kukosa Wateja na ninahitaji pesa ya kuendeleza biashara zangu.
Asanteni wadau kwa ushirikiano wenu
Wakuu biashara imekuwa ngumu na mahitaji yangu yamekuwa mengi sana. Naomba mwenye 5,500,000 aje tufanye biashara. Hapo nitakuwa nimepata hasara ya laki tano but nothing I can do.
Karibuni wateja
Sent from my itel it1501 using JamiiForums mobile app
Noma sana! Ila ndio hali halisi yenyewe hivyo inayotakiwaUkifika 4M nishitue, ila sharti langu ni kuwa jina lako(kupitia vitambulisho muhimu), lifanane na jina ulilosajiria simu yako, lifanane na jina la manunuzi ya kiwanja au makabidhiano yoyote hadi wewe kumiliki kiwanja. Nitahitaji kama wiki 2 kufanya uchunguzi muhimu kwa watu mbali mbali ninaojua mimi , ikiwa pamoja na kuchukua coordinate na kuzipeleka ardhi kujua ramani za mipango miji. Mara zote ninunuapo ardhi, hutumia karibu 20% ya thamani ya bei ya kiwanja kuhakiki uhalali, kwenye hili huwa sina ubahiri.
Kwa hiyo kama kiwanja hakina shida nitafute, kama kina shida usinitafute kwa kuwa mchakato wa utoaji pesa kwenye mfuko wangu huwa mgumu sana.
Nakutakia kila la kheri na utafutaji mwema wa mteja.
Asante
kamata 4.5m mkuu, Ila ulipaji nitakuwa na mchakato Kama wa mkuu Tume ya katiba ili kujiridhisha.Noma sana! Ila ndio hali halisi yenyewe hivyo inayotakiwa
Kuhusu hizo hatua wala hakuna tatizo. Tatizo lipo kwenye hiyo bei tu mkuuUkifika 4M nishitue, ila sharti langu ni kuwa jina lako(kupitia vitambulisho muhimu), lifanane na jina ulilosajiria simu yako, lifanane na jina la manunuzi ya kiwanja au makabidhiano yoyote hadi wewe kumiliki kiwanja. Nitahitaji kama wiki 2 kufanya uchunguzi muhimu kwa watu mbali mbali ninaojua mimi , ikiwa pamoja na kuchukua coordinate na kuzipeleka ardhi kujua ramani za mipango miji. Mara zote ninunuapo ardhi, hutumia karibu 20% ya thamani ya bei ya kiwanja kuhakiki uhalali, kwenye hili huwa sina ubahiri.
Kwa hiyo kama kiwanja hakina shida nitafute, kama kina shida usinitafute kwa kuwa mchakato wa utoaji pesa kwenye mfuko wangu huwa mgumu sana.
Nakutakia kila la kheri na utafutaji mwema wa mteja.
Asante