Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Dodoma Mjini

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Dodoma Mjini

Sitachoka

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,030
Reaction score
1,306
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma katikati ya mji maeneo ya majengo kina ukubwa wa 35 kwa 17, kina offer.
Bei ni 230mil mwenye kuhitaji tafadhari tuwasiliane kwa namba 0622723082, naamini hutojuta kukinunua kama una mipango ya kuwekeza katikati ya mji.

Karibuni

IMG20210730155259.jpg

IMG20210730155750.jpg

IMG20210730155452.jpg
 
Kiwanja kinauzwa kipo dodoma katikati ya mji maeneo ya majengo kina ukubwa wa 35 kwa 17, kina offer.
Bei ni 230mil mwenye kuhitaji tafadhari tuwasiliane kwa namba 0622723082, naamini hutojuta kukinunua kama una mipango ya kuwekeza katikati ya mji... Karibuni

View attachment 1874298

View attachment 1874299

View attachment 1874300
Yani zile feelings anazokuwa nazo mtu analala masikini aamke millionare ndio hizi, pale watu wa hata milion 5 watakapoanza kukuzingua kutoa hiyo offer ndio utajua hujui na ndio utajua hela ina staha na heshima zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mikocheni yenyewe hapauzwi hivyo. Msinywe bia halafu muingie jf haya ndo madhara yake.
Basi kwa dodoma tena hapo majengo bei kawaida kabisa hiyo.

Hata asipopata hiyo 230m hawez kosa 170-190 hapo
 
Duuh
Bei ya kiwanja cha ukubwa wa 35/17 Dodoma ni m 230???
Majengo kwa Dodoma ni kama kariakoo. Wanahamishwa wenyeji kwaajili ya nyumba za biashara/magorofamily

Bei amezidisha chumvi kidogo ila hakosi zaidi ya 170 aisee
 
Majengo kwa Dodoma ni kama kariakoo. Wanahamishwa wenyeji kwaajili ya nyumba za biashara/magorofamily

Bei amezidisha chumvi kidogo ila hakosi zaidi ya 170 aisee
Hakuna sehemu,kokote,kufikia kariakoo,mji wa kibiashara.Hao wa Dodoma,mizigo yao ya kibiashara,wanafungasha Kariakoo.
 
Hakuna sehemu,kokote,kufikia kariakoo,mji wa kibiashara.Hao wa Dodoma,mizigo yao ya kibiashara,wanafungasha Kariakoo.
Kama sio sawa sawa
Sijasema Majengo imefikia/sawasawa na kariakoo

Nilikua natoa mfano kuelezea hapo ni Business district ya jiji na pia ndo kuna mji mkongwe

Mengine bado yako kama yalivyo sitengui kauli😂😂
 
Kama sio sawa sawa
Sijasema Majengo imefikia/sawasawa na kariakoo

Nilikua natoa mfano kuelezea hapo ni Business district ya jiji na pia ndo kuna mji mkongwe

Mengine bado yako kama yalivyo sitengui kauli[emoji23][emoji23]

Dodoma hakuna kiwanja cha Ml 150 hata hapo jamatini sembuse majengo huko?
 
Back
Top Bottom