Yani zile feelings anazokuwa nazo mtu analala masikini aamke millionare ndio hizi, pale watu wa hata milion 5 watakapoanza kukuzingua kutoa hiyo offer ndio utajua hujui na ndio utajua hela ina staha na heshima zakeKiwanja kinauzwa kipo dodoma katikati ya mji maeneo ya majengo kina ukubwa wa 35 kwa 17, kina offer.
Bei ni 230mil mwenye kuhitaji tafadhari tuwasiliane kwa namba 0622723082, naamini hutojuta kukinunua kama una mipango ya kuwekeza katikati ya mji... Karibuni
View attachment 1874298
View attachment 1874299
View attachment 1874300
Duuh
Bei ya kiwanja cha ukubwa wa 35/17 Dodoma ni m 230???
Mkuu unauza Kiwanja au Ukuta?Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma katikati ya mji maeneo ya majengo kina ukubwa wa 35 kwa 17, kina offer.
Bei ni 230mil mwenye kuhitaji tafadhari tuwasiliane kwa namba 0622723082, naamini hutojuta kukinunua kama una mipango ya kuwekeza katikati ya mji.
Karibuni
View attachment 1874298
View attachment 1874299
View attachment 1874300
Ngoja wale jamaa wa Kigoma WAHA waje wakichukue faster kwa bei hiyo!Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma katikati ya mji maeneo ya majengo kina ukubwa wa 35 kwa 17, kina offer.
Bei ni 230mil mwenye kuhitaji tafadhari tuwasiliane kwa namba 0622723082, naamini hutojuta kukinunua kama una mipango ya kuwekeza katikati ya mji.
Karibuni
View attachment 1874298
View attachment 1874299
View attachment 1874300
Basi kwa dodoma tena hapo majengo bei kawaida kabisa hiyo.Mikocheni yenyewe hapauzwi hivyo. Msinywe bia halafu muingie jf haya ndo madhara yake.
Majengo kwa Dodoma ni kama kariakoo. Wanahamishwa wenyeji kwaajili ya nyumba za biashara/magorofamilyDuuh
Bei ya kiwanja cha ukubwa wa 35/17 Dodoma ni m 230???
Hakuna sehemu,kokote,kufikia kariakoo,mji wa kibiashara.Hao wa Dodoma,mizigo yao ya kibiashara,wanafungasha Kariakoo.Majengo kwa Dodoma ni kama kariakoo. Wanahamishwa wenyeji kwaajili ya nyumba za biashara/magorofamily
Bei amezidisha chumvi kidogo ila hakosi zaidi ya 170 aisee
Kama sio sawa sawaHakuna sehemu,kokote,kufikia kariakoo,mji wa kibiashara.Hao wa Dodoma,mizigo yao ya kibiashara,wanafungasha Kariakoo.
Kama sio sawa sawa
Sijasema Majengo imefikia/sawasawa na kariakoo
Nilikua natoa mfano kuelezea hapo ni Business district ya jiji na pia ndo kuna mji mkongwe
Mengine bado yako kama yalivyo sitengui kauli[emoji23][emoji23]