Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Dodoma Mjini

Dodoma hakuna kiwanja cha Ml 150 hata hapo jamatini sembuse majengo huko?
Acha ujuaji mkuu mimi nina kiwanja kilimani kila siku watu wa m370-400 wanakitakitaka sema cha familia tu ndomaana tumekausha
 
Acha ujuaji mkuu mimi nina kiwanja kilimani kila siku watu wa m370-400 wanakitakitaka sema cha familia tu ndomaana tumekausha
Nakubaliana na wewe kuna mzee anauza 200m maeneo ya chuo cha mipango wadau wanataka kumpa 150m mzee anakataa na hiyo ilikuwa ni mwaka 2016 sijui sasa hiv
 
Nakubaliana na wewe kuna mzee anauza 200m maeneo ya chuo cha mipango wadau wanataka kumpa 150m mzee anakataa na hiyo ilikuwa ni mwaka 2016 sijui sasa hiv
Ninashangaa hata kwanini ardhi imekua hivi Dodoma.

Mfano mwingine mimi mwaka 2015/206 wakati was CDA nilipewa hadi ofa ya kiwanja Mkalama square m 900 kwa mil8 name kitu ila sikukilipia akanununua mtu mwingine mshkaj wangu mwaka huu watu wanakuja mpk na M37 anakataa ni kiwanja kitupu hata hakijajengwa sasa sembuse hizo maeneo za majengo/jamatini ambako inabidi uhamishe watu ubomoe vinyumba vyao vya kiswahili vile
 
Ila mkuu mkalama pako vizuri unaona mji wote wa dodoma
 
Ila mkuu mkalama pako vizuri unaona mji wote wa dodoma
Ni kweli aisee kwasasa pako hot sana pale naona. Yaan mpaka leo hii najuta kumuachia yule mwamba aruke nacho. Halafu hana haraka wala nini

Saiv kwanzaa anataka azungushie ukuta tu atulie
 
Nilipata kiwanja Kinachokaribian ukubwa N hicho maeneo ya nanenane kwa milion 9. Na bado kipo hakijauzwa wewe Unauza kwa bei hiyo huwezi pata mnunuzi
 
Na mimi kipo inyala barabarani...3million tu.Futi 40 kwa 16.Karibuni mbeya ndugu zangu
 
Haa πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜…πŸ˜€πŸ˜πŸ˜
Kwa Kungwi Kuliwe Na Kwa Mwali Kuliwe

Serikali Inahamia Dar es Salaam Sasa Ipo On transit
Bei Hiyo Na Msimu Wa Mvua Maji Chepe~Chepe πŸ˜£πŸ˜πŸ™„
 
Nilipata kiwanja Kinachokaribian ukubwa N hicho maeneo ya nanenane kwa milion 9. Na bado kipo hakijauzwa wewe Unauza kwa bei hiyo huwezi pata mnunuzi
Kuwa serious mkuu! Yaani nanenane unapafananisha na majengo sokoni? Nanenane ndiyo kwanza kunaanza kuchipukia unapafananisha na katikati ya mji ulipoanzia na kwenye shuguli zote kubwa za kibiashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…