Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,733
- Thread starter
-
- #21
Yawezekana ukawa na mashaka ni kweli kabisa,ila kwa mtu ambae ni mnunuzi anahitaji goba pamekua karibu sana siku hizi unaruhusiwa kuja kutembelea,pia swala la bei nimetamka hiyo kwa sababu nimebanwa na issue zangu nizimalize kwa haraka.Kiwanja kilivyo na bei uliyoitaja napatwa na shaka. Apo ing'ekuwa million 30, ning'ekuelewa. Goba viwanja vipo bondeni 20x30 million 20 na zaidi.
Pia mkuu nikipata any means ya kusolve tatizo langu hutaniona tena huku,najua thamani ya ule uwanja.Kiwanja kilivyo na bei uliyoitaja napatwa na shaka. Apo ing'ekuwa million 30, ning'ekuelewa. Goba viwanja vipo bondeni 20x30 million 20 na zaidi.
Mkuu mambo yamebadilika sana na bado yatazidi kubarika,trust me hard time is coming.Kiwanja kilivyo na bei uliyoitaja napatwa na shaka. Apo ing'ekuwa million 30, ning'ekuelewa. Goba viwanja vipo bondeni 20x30 million 20 na zaidi.
Usemalo kweli hadi kufika mwakan wakati kama huu pande hizo kiwanja chenye ukubwa huo kinaweza kuwa kimefika 5MMkuu mambo yamebadilika sana na bado yatazidi kubarika,trust me hard time is coming.
Mbona hukuweka picha nyingine au ulishapata mtejaNgoja nirudi mapema nyumbani nijaribu tena kuchukua picha zingine.
Bado sijapata mteja na cm yangu inasumbua,nakuomba kama una nafasi uje uangalie mwenyewe,kwa mbele unaweza kuweka frem kama nne hivi.Mbona hukuweka picha nyingine au ulishapata mteja
Mkuu naona umeandika sijui kimasai ing'e ndo nini sasa?Kiwanja kilivyo na bei uliyoitaja napatwa na shaka. Apo ing'ekuwa million 30, ning'ekuelewa. Goba viwanja vipo bondeni 20x30 million 20 na zaidi.
Mambo yamekua tight njoo tujadiliane kwa atakaehitaji hicho kiwanja.
Duh,Mkuu kama umebanwa sana kesho nikuletee 5M
Duh,
Kweli kufa kufaana.
Yaani shida za mwenzio ndio unataka na wewe utusue humohumo