Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Itezi, Mbeya

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Itezi, Mbeya

Ninapatamani sana, ila msuli wangu ni mdogo sana, yaani ingekuwa 5M tungemaliza biashara chap sana,natamani ningekuwa na 8M ningelipa!
Pole bosi wangu. Gharama ya kiwanja tu inazidi 5M mkuu. Ukiweza kwa awamu mbili nitavumilia mkuu ila 8M is the best I can offer. Karibu sana mkuu.
 
Kama unaona hakiuziki na una full documents:

Idea ya kwanza ingia bank nenda ukakope kiasi kizuri waachie hati halafu usilipe marejesho
Kazi imeisha hapo kaka [emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]

Idea ya pili tafuta watu wa kufanya minada kama YONO wape deal

Idea ya 3, usiwe mchoyo tafuta dalali wape kiasi unahitaji wewe waache wafanye kazi ndio maisha utakiuza haraka sana
 
Asante kwa ushauri mkuu... Naweza kwenda na huo wa pili au wa tatu. Nikifanikisha nitakujulisha hapa bosi wangu
 
Back
Top Bottom