Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kange Tanga

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kange Tanga

Subirini picha naona maswali yamekuwa mengi
 
Nenda kaone fanya search,
Taarifa ziko wapi?, siku hizi hakuna sababu ya kwenda field mambo yote yanaishia kwenye simu janja tu. Taarifa zitolewe watu wajue status na incumbrances if any.
 
Kwa utaratibu ukubwa wa kiwanja unapimwa kwa Mita sio futi, mleta uzi acha usanii sema kina Mita za mraba ngapi au sema Urefu Mita ngapi na Upana Mita ngapi utaambiwa Mita za mraba hapa hapa.
😅😅😅😅
 
Nauza kiwanja changu chenye hati ,huduma muhimu zipo umeme/maji. Kipo Kisera Kange na ukubwa wa zaidi ya ft 650.Bei Tsh 9500000.00. Simu 0712652110
Kiwanja kina hati kabisa umesema, means kina vipimo Rasmi, halafu unakuja kusema kina ukubwa wa zaidi ya ft 650 kwanini usiweke vipimo vyake rasmi.huu ni Ucheshi kama sio uchizi sasa. Unakimbilia tu kuweka bei
 
Kiwanja kina hati kabisa umesema, means kina vipimo Rasmi, halafu unakuja kusema kina ukubwa wa zaidi ya ft 650 kwanini usiweke vipimo vyake rasmi.huu ni Ucheshi kama sio uchizi sasa. Unakimbilia tu kuweka bei
Next time you need to shut up ,as......le
 

Attachments

  • 20250208_155312.jpg
    20250208_155312.jpg
    511.7 KB · Views: 4
  • 20250208_155319.jpg
    20250208_155319.jpg
    412.5 KB · Views: 4
  • 20250208_155326.jpg
    20250208_155326.jpg
    620.1 KB · Views: 4
  • 20250208_155343.jpg
    20250208_155343.jpg
    693.8 KB · Views: 4
Back
Top Bottom