Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
morogoro road yote mkoloni alitunga sheria hifadhi ya barabara ni mita 121.5 kutoka kati kati ya barabara kila upande...
phase one imeanza liza watu kimara mpaka kibaha.... na hii ni mpaka tunduma italiza watu...
sasa huyo wa kumuuzia milion 3 sijuii utambambika nani wakati kuna kuvunjiwa
Ushafuta tangazo la mtu.morogoro road yote mkoloni alitunga sheria hifadhi ya barabara ni mita 121.5 kutoka kati kati ya barabara kila upande...
phase one imeanza liza watu kimara mpaka kibaha.... na hii ni mpaka tunduma italiza watu...
sasa huyo wa kumuuzia milion 3 sijuii utambambika nani wakati kuna kuvunjiwa
Afu na hiyo bei basi!?[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] bora angesema hata laki 5MKUU nani anunue 20x20 huko porini
Katikati ya chalinze na ubena estate....kuelekea morogoro. Unavuka chalinze, msolwa kisha mdaula....Ndio wapi huko
Mku naomba kujua kama bado maeneo yapo huko kwalaKaka last week nilienda kijiji kimoja kinaitwa Kwala, sehemu panapojengwa Bandari kavu.. nimenunua heka 10 kwa million 5! tena nalipa kwa awamu.. hizo 20 kwa 20 kwa 3M ni ngumu kimesa...