Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa kipo maeneo ya Mdaura.

morogoro road yote mkoloni alitunga sheria hifadhi ya barabara ni mita 121.5 kutoka kati kati ya barabara kila upande...

phase one imeanza liza watu kimara mpaka kibaha.... na hii ni mpaka tunduma italiza watu...

sasa huyo wa kumuuzia milion 3 sijuii utambambika nani wakati kuna kuvunjiwa

Mkuu vipi na kilwa road mkoloni alitumia sheria gani?
 
morogoro road yote mkoloni alitunga sheria hifadhi ya barabara ni mita 121.5 kutoka kati kati ya barabara kila upande...

phase one imeanza liza watu kimara mpaka kibaha.... na hii ni mpaka tunduma italiza watu...

sasa huyo wa kumuuzia milion 3 sijuii utambambika nani wakati kuna kuvunjiwa
Ushafuta tangazo la mtu.
 
Kaka last week nilienda kijiji kimoja kinaitwa Kwala, sehemu panapojengwa Bandari kavu.. nimenunua heka 10 kwa million 5! tena nalipa kwa awamu.. hizo 20 kwa 20 kwa 3M ni ngumu kimesa...
 
Back
Top Bottom