Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa kipo maeneo ya Mdaura.

MKUU nani anunue 20x20 huko porini

[emoji14][emoji14][emoji14] halafu hiyo bei mbona haiendani na hadhi ya eneo lenyewe? Kwa hiyo bei na hiyo size ya kiwanja hata ktk Jiji la Dar Mtu aweza pata eneo la ukubwa huo Kwa bei hiyo hakika!
 
Bei inapungua karibu.
 
morogoro road yote mkoloni alitunga sheria hifadhi ya barabara ni mita 121.5 kutoka kati kati ya barabara kila upande...

phase one imeanza liza watu kimara mpaka kibaha.... na hii ni mpaka tunduma italiza watu...

sasa huyo wa kumuuzia milion 3 sijuii utambambika nani wakati kuna kuvunjiwa
 
ww siyo mteja nasubiri wateja waje, kiwanja kimepimwa. wasi wasi wako wa nn?
 
Back
Top Bottom