Kiwanja kinauzwa kitunda

Kiwanja kinauzwa kitunda

Futi 30 kwa 40 si kikubwa ndugu yangu, bei ipo juu kwa ukubwa huo. Ukibadilisha kwenye mita ndio utapata uhalisia wake.
itabidi nitafute mtaalam akakipime tupate exactly measurements...! lakini unaweza ukapata nyumba mbili za wastani...
1f0e8f67b51b62134b1ed1f03349f8c4.jpg

ni kuanzia hiyo nguzo iliyo karibu na bata hadi ile nguzo ya mbele kule kushoto kwa urefu...!

🤣🤣🤣🤣nilitegemea hilo tangu 2016 miaka 8 sasa.
Mkuu kwa bei hiyo na maeneo ya kitunda ngoja nimsubiri kumlaki bwana yesu .
Punguza bei uuze kiwanja.
hata hivyo mkuu kimeshuka... ukija na 23m unakichukua...
 
hata hivyo mkuu kimeshuka... ukija na 23m unakichukua...
nasubir ifike 3Milioni . Natania mkuu
ILAkama kinafikika na barabara zipo hakuna shida.
Thamani inategemea na mazingira yenyewe kama hiyo sehemu kuna nyumba nzruri nzuri kama kule kwa wakinga mwanagati thamani itapanda ila kama ni kawaida mkuu bado hiyo bei ni kubwa mno ukizingatia njia ya kufika huko ni mbovu kutokea banana.
Mshauri boss muweke bei reasonable
 
itakuwa hujafika siku nyingi... njia siku hizi ni nzuri... Lami inakaribia kivule... na hiki kipo vituo kama 9 Au 10 baada ya hapo banana...!​
 
Urefu wa nguzo na nguzo ni mita 40 hivi kama sijakosea na sio futi, hivyo itkuwa unataja vipimo sio, mtu anaona kakiwanja ni kadogo kumbe kikubwa.
itabidi nitafute mtaalam akakipime tupate exactly measurements...! lakini unaweza ukapata nyumba mbili za wastani...View attachment 2942309
ni kuanzia hiyo nguzo iliyo karibu na bata hadi ile nguzo ya mbele kule kushoto kwa urefu...!

A
 
Urefu wa nguzo na nguzo ni mita 40 hivi kama sijakosea na sio futi, hivyo itkuwa unataja vipimo sio, mtu anaona kakiwanja ni kadogo kumbe kikubwa.

A
exactly....ni kikubwa mno.. huku pembeni kimepakana na nyumba Tatu... ambazo urefu nyumba zote hizo 3 urefu wa eneo lao ni sawa na hilo eneo...

f446064c1c10c7cc344e37b244fb83f1.jpg

jirani mwenye nyumba nyeupe hapo ana kiwania hicho kiwanja ila hafiki bei🤣🤣🤣 ndio maana ukuta wa uzio wake amegoma kuufunga akitegemea muda wowote atakipata 🤣🤣🤣​
 
aFuti 30 kwa 40 si kikubwa ndugu yangu, bei ipo juu kwa ukubwa huo. Ukibadilisha kwenye mita ndio utapata uhalisia wake.
67443bda09d717b59aafc02aeffa8c0b (1).jpg

una uona uzio wa hiyo nyumba nyeupe urefu wake ni sawa na urefu wa hiki kiwanja. hapo nadhani unaweza kukadilia...!​
 
itakuwa hujafika siku nyingi... njia siku hizi ni nzuri... Lami inakaribia kivule... na hiki kipo vituo kama 9 Au 10 baada ya hapo banana...!​
Hakuna kipande kibovu kama ukimaliza mikaratusi ya air wing na kwa mbele kwenda kutafuta police post ya kitunda pabaya Sana zile sehemu ndio zinafanya kitunda thamani isipande
 
Hakuna kipande kibovu kama ukimaliza mikaratusi ya air wing na kwa mbele kwenda kutafuta police post ya kitunda pabaya Sana zile sehemu ndio zinafanya kitunda thamani isipande
ila mkuu sio ubovu usio pitika... japo barabara ni nyembamba
 
ila mkuu sio ubovu usio pitika... japo barabara ni nyembamba
sawa mkuu bora kiwanja kingekuwa Hata M16 watu kibao wangefika hata dalali anapata cha juu. m23 mkuu Halafu dalali mwenye kiwanja ndoa anampa pesa? Au Kama vipi akubali lakini awe tayari kutoa 10% kama wengi wanavyofanya
 
mkuu kama unae mteja... au una kitaka njoo ukione hatutashindwana...!

10% nitakupa... au nitakupunguzia kama utakichukua wewe...!​
 
Back
Top Bottom