makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Futi 30 kwa 40 si kikubwa ndugu yangu, bei ipo juu kwa ukubwa huo. Ukibadilisha kwenye mita ndio utapata uhalisia wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Futi 30 kwa 40 si kikubwa ndugu yangu, bei ipo juu kwa ukubwa huo. Ukibadilisha kwenye mita ndio utapata uhalisia wake.
bado kipo... mkuuIcho kiwanja kishauzwa?
🤣🤣🤣🤣nilitegemea hilo tangu 2016 miaka 8 sasa.bado kipo... mkuu
Futi 30 kwa 40 si kikubwa ndugu yangu, bei ipo juu kwa ukubwa huo. Ukibadilisha kwenye mita ndio utapata uhalisia wake.
hata hivyo mkuu kimeshuka... ukija na 23m unakichukua...🤣🤣🤣🤣nilitegemea hilo tangu 2016 miaka 8 sasa.
Mkuu kwa bei hiyo na maeneo ya kitunda ngoja nimsubiri kumlaki bwana yesu .
Punguza bei uuze kiwanja.
nasubir ifike 3Milioni . Natania mkuuhata hivyo mkuu kimeshuka... ukija na 23m unakichukua...
nasubir ifike 3Milioni . Natania mkuu
ILAkama kinafikika na barabara zipo hakuna shida.
Thamani inategemea na mazingira yenyewe kama hiyo sehemu kuna nyumba nzruri nzuri kama kule kwa wakinga mwanagati thamani itapanda ila kama ni kawaida mkuu bado hiyo bei ni kubwa mno ukizingatia njia ya kufika huko ni mbovu kutokea banana.
Mshauri boss muweke bei reasonable
Aitabidi nitafute mtaalam akakipime tupate exactly measurements...! lakini unaweza ukapata nyumba mbili za wastani...View attachment 2942309
ni kuanzia hiyo nguzo iliyo karibu na bata hadi ile nguzo ya mbele kule kushoto kwa urefu...!
Urefu wa nguzo na nguzo ni mita 40 hivi kama sijakosea na sio futi, hivyo itkuwa unataja vipimo sio, mtu anaona kakiwanja ni kadogo kumbe kikubwa.
A
aFuti 30 kwa 40 si kikubwa ndugu yangu, bei ipo juu kwa ukubwa huo. Ukibadilisha kwenye mita ndio utapata uhalisia wake.
Hakuna kipande kibovu kama ukimaliza mikaratusi ya air wing na kwa mbele kwenda kutafuta police post ya kitunda pabaya Sana zile sehemu ndio zinafanya kitunda thamani isipandeitakuwa hujafika siku nyingi... njia siku hizi ni nzuri... Lami inakaribia kivule... na hiki kipo vituo kama 9 Au 10 baada ya hapo banana...!
ila mkuu sio ubovu usio pitika... japo barabara ni nyembambaHakuna kipande kibovu kama ukimaliza mikaratusi ya air wing na kwa mbele kwenda kutafuta police post ya kitunda pabaya Sana zile sehemu ndio zinafanya kitunda thamani isipande
sawa mkuu bora kiwanja kingekuwa Hata M16 watu kibao wangefika hata dalali anapata cha juu. m23 mkuu Halafu dalali mwenye kiwanja ndoa anampa pesa? Au Kama vipi akubali lakini awe tayari kutoa 10% kama wengi wanavyofanyaila mkuu sio ubovu usio pitika... japo barabara ni nyembamba
sawa mkuu bora kiwanja kingekuwa Hata M16 watu kibao wangefika hata dalali anapata cha juu. m23 mkuu Halafu dalali mwenye kiwanja ndoa anampa pesa? Au Kama vipi akubali lakini awe tayari kutoa 10% kama wengi wanavyofanya