K karumo Member Joined Dec 26, 2012 Posts 7 Reaction score 0 Feb 26, 2014 #1 Kipo Kigamboni-Somangila karibu na apartments za NSSF, kina ukubwa wa sqm 1100, kipo barabarani. Bei ni maelewano piga 0767928839
Kipo Kigamboni-Somangila karibu na apartments za NSSF, kina ukubwa wa sqm 1100, kipo barabarani. Bei ni maelewano piga 0767928839
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 33,643 Reaction score 36,090 Feb 26, 2014 #2 karumo said: Kipo Kigamboni-Somangila karibu na apartments za NSSF, kina ukubwa wa sqm 1100, kipo barabarani. Bei ni maelewano piga 0767928839 Click to expand... Taja urefu na upana bana, square meter hazitoi picha kwenye shape ya kiwanja. Ukumbuke hata barabara nayo ina square meter. hiyo 1100 sqm inaweza ikawa 110 X 10 au 55 X 20 au 44 X 25 (urefu mara upana)
karumo said: Kipo Kigamboni-Somangila karibu na apartments za NSSF, kina ukubwa wa sqm 1100, kipo barabarani. Bei ni maelewano piga 0767928839 Click to expand... Taja urefu na upana bana, square meter hazitoi picha kwenye shape ya kiwanja. Ukumbuke hata barabara nayo ina square meter. hiyo 1100 sqm inaweza ikawa 110 X 10 au 55 X 20 au 44 X 25 (urefu mara upana)