Kiwanja kinauzwa kwa bei nafuu-kimepimwa

Kiwanja kinauzwa kwa bei nafuu-kimepimwa

karumo

Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
7
Reaction score
0
Kipo Kigamboni-Somangila karibu na apartments za NSSF, kina ukubwa wa sqm 1100, kipo barabarani.

Bei ni maelewano
piga 0767928839
 
Kipo Kigamboni-Somangila karibu na apartments za NSSF, kina ukubwa wa sqm 1100, kipo barabarani.

Bei ni maelewano
piga 0767928839
Taja urefu na upana bana, square meter hazitoi picha kwenye shape ya kiwanja. Ukumbuke hata barabara nayo ina square meter. hiyo 1100 sqm inaweza ikawa 110 X 10 au 55 X 20 au 44 X 25 (urefu mara upana)
 
Back
Top Bottom