Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taja urefu na upana bana, square meter hazitoi picha kwenye shape ya kiwanja. Ukumbuke hata barabara nayo ina square meter. hiyo 1100 sqm inaweza ikawa 110 X 10 au 55 X 20 au 44 X 25 (urefu mara upana)Kipo Kigamboni-Somangila karibu na apartments za NSSF, kina ukubwa wa sqm 1100, kipo barabarani.
Bei ni maelewano
piga 0767928839