Plot4Sale Kiwanja kinauzwa, Mkundi Morogoro, 945 meter square

Kipo mkundi maeneo gani? Kwa daladala unashukia kituo gani?
 
Kiwanja hicho kimepangiwa matumizi gani kwa mujibu wa documents zako za umiliki?
Kama unaenda Dodoma ukitokea Msamvu, je kiwanja hicho kipo upande upi?
Ni umbali gani kwa makisio kutoka stendi ya daladala unaposhuka Mkundi hadi kwenye kiwanja husika?Kwenye ramani yako uliyoambatisha nimechunguza lakini sijafanikiwa kubaini suala hili
 

Kiwanja ni kwa ajili ya makazi, ukitoka msamvu kwenda Dom kipo mkono wa kulia na umbali kutoka stand ya daladala ukishuka ni 1km...karibu mkuu
 
Kwa kule mkundi ukiridhia 3M nijuze,tufanye biashara,maana kwa maeneo yote yale,squata nyingi ni 1.5M -2M,so ukiona 3M inakufaa karibu inbox!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…