Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipo mkundi maeneo gani? Kwa daladala unashukia kituo gani?Heshima kwenu wakubwa,
Nauza kiwanja kipo Mkundi, Morogoro Mjini njia ya kwenda Dodoma, Kina ukubwa wa 945 square meters.
Ni kiwanja namba 399 block R Mkundi. Kimepimwa tayari kinasubiri hati. Nimeambatanisha baadhi ya picha za kiwanja.
Nauza Milioni 5, karibu sana.
Karibu PM kwa mawasiliano zaidi.View attachment 1458949View attachment 1458950View attachment 1458951View attachment 1458952View attachment 1459090
Kipo mkundi maeneo gani? Kwa daladala unashukia kituo gani?
Kipo Mkundi nguvu kazi, unashukia mnarani zinapogeuzia daladala za mkundi
kutoka msamvu hadi huko mkundi kiwanja kilipo kuna umbali gani?
Kiwanja hicho kimepangiwa matumizi gani kwa mujibu wa documents zako za umiliki?
Kama unaenda Dodoma ukitokea Msamvu, je kiwanja hicho kipo upande upi?
Ni umbali gani kwa makisio kutoka stendi ya daladala unaposhuka Mkundi hadi kwenye kiwanja husika?Kwenye ramani yako uliyoambatisha nimechunguza lakini sijafanikiwa kubaini suala hili
Maji sasa na Mvua za moro balaaa
usikute ni vile viwanja vyenye mgogoro mkuu kiegea ipi
Huko ni Mkundi sio Kiegea. BTW kingekuwa na mgogoro kisingepewa hati wala kupimwa.usikute ni vile viwanja vyenye mgogoro mkuu kiegea ipi