Plot4Sale Kiwanja kinauzwa

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa

mzeesam

Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
79
Reaction score
53
Kipo mvuti kiboga
Kina futi 59 kwa 34
Kina boma la chumba na seble. Umeme, maji, shule, hospital vipo karibu sana.

Mwenye kupata na apate piga simu chap 0683160108, bei 2ml nina shida na hela chaap hakina udalali.
IMG_20230829_121400-COLLAGE.jpg
 
*KIPO MVUTI KIBOGA
*KINA FUTI 59 KWA 34
*KINA BOMA LA CHUMBA NA SEBLE
*UMEME, MAJI, SHULE, HOSPITAL VIPO KARIBU SANA.
*MWENYE KUPATA NA APATE PIGA SIMU CHAP 0683160108
*KAMA KUNA DALALI ANAWEZA LETA MTEJA, KARIBU ULE % 0683160108
IMG_20230829_121400-COLLAGE.jpg
 
Kiwanja kinapimwa kwa futi kama kitanda? Ukiweka kwenye mita vipimo inakuwa 18m x 11m. Sijui unajenga frame ya duka halafu ni Mvuti sasa.
Huwezi amini kwa asie nacho hizo mita 18 ni mithili ya hekalu.

Ukiwa na zaidi kumbuka kuna wasiokuwa nacho kabisa.
 
Kiwanja kinapimwa kwa futi kama kitanda? Ukiweka kwenye mita vipimo inakuwa 18m x 11m. Sijui unajenga frame ya duka halafu ni Mvuti sasa.
acha uongo kwa ht fremu ya duka ndo mita 18*11????? acha dharau mzee, kama ww umebarikiwa kuwa na kikubwa acha na sisi tujishike tunapoweza
 
Back
Top Bottom