Nisamehe bure mzeesam, nimekosa mimi. Nimefuta bandiko langu, nakuomba niko chini ya miguu yako mzee wangu.nipigie simu tumalize kwa laki mbili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisamehe bure mzeesam, nimekosa mimi. Nimefuta bandiko langu, nakuomba niko chini ya miguu yako mzee wangu.nipigie simu tumalize kwa laki mbili
Mi kwanza kiwanja kikishaanza uzwa kwa futi hata sikitakiMadalali wa wilaya ya Temeke karibu wote wanatoa vipimo vya futi kwenye matangazo yao. Kwa kuwa wilaya hiyo wakazi wake wengi shule ndogo wanapigwa tu.
😆😆Kiwanja kinapimwa kwa futi kama kitanda? Ukiweka kwenye mita vipimo inakuwa 18m x 11m. Sijui unajenga frame ya duka halafu ni Mvuti sasa.
Huu utaratibu wa kuuziana viwanja kwa ft umekaa kitapeli sana, afu serikali imekaa kimya tuu ..coz huo ni muendelezo wa slums tuuMadalali wa wilaya ya Temeke karibu wote wanatoa vipimo vya futi kwenye matangazo yao. Kwa kuwa wilaya hiyo wakazi wake wengi shule ndogo wanapigwa tu.
Yaani Mvuti 18M kwa 11M ninunue Milioni 2.Madalali wa wilaya ya Temeke karibu wote wanatoa vipimo vya futi kwenye matangazo yao. Kwa kuwa wilaya hiyo wakazi wake wengi shule ndogo wanapigwa tu.
Hapo karibu na yule mjumbe mwanchembe?Kipo mvuti kiboga
Kina futi 59 kwa 34
Kina boma la chumba na seble. Umeme, maji, shule, hospital vipo karibu sana.
Mwenye kupata na apate piga simu chap 0683160108, bei 2ml nina shida na hela chaap hakina udalali.
View attachment 2736596
Hili lina ukweli.Huwezi amini kwa asie nacho hizo mita 18 ni mithili ya hekalu.
Ukiwa na zaidi kumbuka kuna wasiokuwa nacho kabisa.